Gachagua na Sifuna wadai Rais Ruto alivaa koti la KSh milioni 20, viatu vya KSh milioni 20 na saa ya KSh milioni 30 alipohudhuria harusi ya binti yake.
#maishajioni
306
Maafisa wa DCI wamemkamata Brian Shem Maboni Achieng mjini Busia kwa kujifanya afisa wa KDF na kuwalaghai familia KSh milioni 1.1 kupitia nafasi feki za kujiunga na jeshi.
#maishajioni
Murang’a na Nairobi zatajwa kuwa na viwango vya juu vya kemikali kwenye matunda na mboga.
#maishajioni
334
Nakoche: Usanii ni biashara ngumu inayohitaji kujituma, uvumilivu na uwekezaji. Bila kuwekeza, ni vigumu kufanikiwa katika tasnia hii.
#Konnect
1
3
890
Nakoche is in the building! The vibes, the energy and the excitement are unmatched. Stay tuned
#Konnect
362
DCI detectives wamemshikana Brian Shem kwa kujifanya KDF officer na kuwalaghai familia KSh1.1 million
#Konnect
336
The legend Ronaldinho has returned to the pitch after 11 years and2 months in retirement.
#Konnect
356
Mwigizaji Azziad Nasenya afichua kuwa ana watoto watano wenye baba tofauti, akisema bado hajawatambulisha kwa umma.
#Konnect
1,326
Lemuel: Akipatiwa nafasi tupu, kazi yake ni kuipangilia na kuibuni upya ili iwe na mvuto.
#Staarabika
403
Gachagua apuuzilia mbali kura ya maoni inayomtaja kuwa chanzo cha migawanyiko ndani ya upinzani.
#Staarabika
379

