AICC (@AICCTZ) header
AICC (@AICCTZ) profile picture

A world-class Conference Centre in the heart of Africa.

Arusha / Dar-es-Salaam, Tanzan
Joined April 2012
Photo by AICC (@AICCTZ)Photo by AICC (@AICCTZ)Photo by AICC (@AICCTZ)Photo by AICC (@AICCTZ)Photo by AICC (@AICCTZ)Photo by AICC (@AICCTZ)Photo by AICC (@AICCTZ)Photo by AICC (@AICCTZ)Photo by AICC (@AICCTZ)Photo by AICC (@AICCTZ)
PSSF na AICC Kujenga Ukumbi wa Mikutano wa KMICC Uwekaji saini wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KMICC) kati ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ni kielelezo cha utekelezaji wa maono ya Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) wakati wa hafla ya uwekaji saini wa Ukumbi huo utakao kuwa mkubwa zaidi nchini iliyofanyika jijini Arusha Machi 08,2025. "Mhe. Rais Samia ameona kwa uono mpana kabisa kuna fursa nyingi katika utalii wa vikao, incentives, mikutano na maonesho (meetings, incentives, conferences and exhibition-MICE) ambazo hazijatumiwa vizuri kutokana na miundombinu duni, hivyo, ujenzi wa ukumbi huu ambapo ammeelekeza pia ijengwe na hoteli isiyopungua ya vyumba 500 pembezoni mwa ukumbi ni mwendelezo wa Serikali yake wa kutatua changamoto katika sekta ya utalii", Balozi Kombo alisema. Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu kazi vijana, ajira na wenye ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) ametoa wito kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii PSSF na AICC kuhakikisha wanasimamia vyema mradi wa ujenzi wa ukumbi huo utakao kuwa na uwezo wa kubeba watu 5,000 kwa mara moja. Amesema mchakato wa ujenzi wa kituo hicho ni matokeo ya miongozo mbalimbali inayoongozwa na dira ya taifa ya maendeleo ya mwaka 2025. "Utekelezaji huu ni maelekezo ya ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2020 hadi 2025 inayotuelekeza kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano utakaoweza kuileta Dunia Tanzania", Amesema. Aidha, amesema anafarijika kuona taasisi ya PSSF ilivyoingia makubaliano mazuri na kituo cha Mikutano cha AICC katika utekelezaji wa mradi huu ambao unatakiwa kukamilika katika kipindi cha miaka miwili. "Nitahakikisha mradi huu unakamilika kama ambavyo tumekubaliana kwenye mkataba ili uweze kuleta tija kwa Watanzania" Aliongeza kuwa Mradi huo ni wa kujivunia kwani unakwenda kuweka alama kubwa Tanzania na unajengwa na watanzania wenyewe na utasaidia kuchochea fursa za kiuchumi katika mji wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.
1
8
1
15
1,455
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KONGAMANO LA JUMUIYA YA WAISLAM WA SHIA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 10,2024 amemwakilisha Rais Dkt. @SuluhuSamia katika Mkutano na Kongamano la Umuhimu wa Amani kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa whatsapp.com/channel/0029VaC…
2
2
3
431
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) Mha.Mathew Mwangomba Atoa Shime kwa Wadau Mbalimbali Kushiriki Kongamano Kubwa Litakalofanyika Nchini Tanzania Kuanzia Tarehe 21-27 Oktoba, 2024 Katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam.
1
1
2
206
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Julai, 2024.
4
37
8
105
8,779
DONDOO; Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua Jukwaa la Kodi na Uwekezaji kwa Mwaka 2024, linalofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
6
1
15
1,775
Day Two of the 3rd Tanzania Mining & Investment Forum has come to an end. Check out the Day Two round up video for the Forum & Exhibition highlights! #TMIF2023 #TanzaniaMiningInvestmentForum #Mining #Tanzania #dmgevents #Highlights
5
8
669
Kongamano la 7 la TEHAMA Nchini (TAIC2023) #TAIC2023
1
2
6
311
The JMKF Settlor and Chairman, retired President of Tanzania @jmkikwete meets with the Permanent Secretary of the Ministry of Health Dr. John Jingu and his delegation in Dar es salaam today on forthcoming 2nd RMNCAH+N scientific Conference slated for 15th - 17th November, 2023
2
176
The delegation additionally visited BK Arena, where they acquired insights into the workings of MICE and sports tourism. They also delved into the planning and promotion of international conferences, conventions, and activities associated with MICE and sports tourism.
3
3
252
During their visit to the Kigali Convention Center, the delegation gained insights into the functioning of MICE (Meetings, Incentives, Conferences/Conventions, and Exhibitions/Events) and sports tourism.
1
5
7
856
The delegation also conducted a courtesy visit to @RCBrwanda to gain an understanding of RCB's operations and its role in establishing and managing Conventions Bureaus across the African continent.
1
4
5
553
This Monday, we welcomed the @AICCTZ delegation from Tanzania for a benchmarking visit to acquire valuable insights and practical knowledge that can greatly contribute to the success of the project of Mount Kilimanjaro International Convention Centre construction investment.
1
6
14
1,304
Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ leo Septemba 20,2023 atafungua kongamano na Maonesho ya Tano ya Nishati Tanzania 2023,katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa wa Julius Nyerere,Dar es Salaam Kongamano hilo pia limehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko.
1
4
548
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz
10
25
168
10,049
MHE. RAIS SAMIA AKIFUNGUA KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA – AICC, ARUSHA teapaw.org/i/broadcasts/1vAxRADnz…
5
24
83
8,141
kwa ajili ya kufungua Kikao Kazi kwa Wenyeviti na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma tarehe 19 Agosti, 2023.
4
21
2,023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakati wa  wimbo wa Taifa na Afrika Mashariki alipowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (AICC) Jijini Arusha
14
34
262
12,286
kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC Jijini Arusha tarehe 19 Agosti, 2023.
4
18
2,470
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye ufunguzi wa Kikao Kazi kwa Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kilichoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa kushirikiana na Jukwaa la Wakuu wa Taasisi za Umma
5
34
194
7,050
Viongozi na Watendaji wa Taasisi mbalimbali wakisikiliza na kufuatilia kwa makini Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akifungua Kikao Kazi kwa Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma
4
18
115
6,656