“Mtu umekaa zako huna hili wala lile unashangaa wanakuAdd kwenye WhatsAap Group la Wazee na Maendeleo…”
Ifike muda CAG bora hata asitutangazie huo upotevu wa fedha za Umma kama hakuna utekelezaji wowote zaidi ya kuishia kwenye Hansadi za Vikao vya Bunge
Maana kila mwaka CAG anasema kuna upotevu wa Mabilioni ya fedha. Wezi na Mafisadi wanazidi kuitwa WAHESHIMIWA badala wakae JELA..
Naona Wakali wa kutetea Gharama za Ujenzi wa Viwanja vya Mpira wapo kwenye media hapo Crown fm KUTETEA kuwa ni sahihi ongezeko la gharama…
Hii Nchi hakuna Accountability watu ni WEZI
Mudi Mabriani Handas yake lazima anatafunia na GOZO sio PK,,, Mkali anagawa Wastani kwa idadi kwa kila atakaye yakanyaga 😂😂😂
Mudi Mabiiriani ameshaHandas nini naona anaruka na Janja Bonny na hataki kuelekezwa 😂
Biashara zinataka sana moyo na kuwa na Subra
Dada akiongea kitu ujue IMEENDA hiyo,,, Mangi kwenye Siasa ndio basi tena shughuli imeisha ajiandae kuwa kama Dalali Mawese
Dada wa Kipare hawezi kukubali aambiwe Muongo au kuwa na kauli ya Kipumbavu. Kayakanyaga
Akiamka kukojoa hatorudi tena kulala lazima ataruka na Mangi. Ni suala la muda tu 😆😆😆
Adamoo retweeted
nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mzee alute mughwai lissu. moyo wangu unakwenda kwa familia yake, hususan mke na watoto wake, katika kipindi hiki kigumu. mungu amsamehe, na ailaze roho yake mahala pema peponi 💙.
🎥: @izzy_pro_director, @TheChanzo:
Adamoo retweeted
Salamu za faraja kwa wote mliopoteza wapendwa wenu. Nguvu, Upendo na Matumaini viwe nanyi.
Zaidi jamii.app/RmbrncOctDths
#JamiiForums






