Adam's suleiman (@AdmireAs) header
Adam's suleiman (@AdmireAs) profile picture

Muslim

Arusha, Tanzania
Joined April 2013
Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)
Enyi mlio amini! Bila shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi za shetani. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa. ( Quran 5:90 )
3
58
214
17,024
Na mwenye kumfanya Sheitani kuwa mlinzi wake badala ya #Allah, basi huyo amepata khasara ya dhahiri. ( Quran 4:119 )
1
4
9
255
Na laiti wangeli ridhia kile alicho wapa #Allah na #Mtume wake, na wakasema #Allah anatutosheleza, #Allah atatupa katika fadhila zake- ( At-Tawba #59 )
1
8
161
Tunajilinda kwa #Allah kutokana na kudhulumu na kudhulumiwa, ufakiri na ukafiri. Tunajilinda pia kutokana na madeni makubwa na madogo, na matendo ya watu wa ( Kaumu Lut'i ) ushoga!
8
247
Mola wangu ameharamisha mambo machafu ya dhahiri na siri, na dhambi au uasi bila Haki. ( Quran 7:33 )
3
7
205
Pamesemwa; #Internet haiharibu jamii, bali ni kuwa jamii imeharibika na umedhihiri uhalisia wake kwenye #Internet.
6
132
Pamesemwa; Usiwadharau watu, wala usiwakebehi, wala usiwafanyie istahzaa, kwani haujui itakuwa hali yako kesho. Basi kuwa makini leo! Usiwe katika watukanaji, kesho ukawa miongomi mwa waliopewa mtihani. #Ulimi
1
3
160
#Wanadamu Je! Hawamtazami ngamia alivyo umbwa? Na mbingu ilivyo inuliwa? Na ardhi ilivyo tandazwa? Basi kumbusha! Hakika wewe ni mkumbushaji. ( Surat Al-Ghaashiyah 17-19 )
1
11
224
Na tulimpa #Luqman hekima, tukamwambia: Mshukuru #Allah. Na Mwenye kushukuru basi hakika anashukuru kwa ajili ya manufaa ya nafsi yake. Na Mwenye kukufuru, basi #Allah ni Mkwasi Msifiwa. ( Quran 31:12 ) Na hakika tukishukuru zitadumu neema. #Alhamdulillah
2
10
214
Amesema Hassan Al Basriy ( Allah marahamu ) Kuna mtu kama chakula! Haiwezekani kumkosa. Na kuna mwingine kama dawa, haitajiki ila baada ya muda. Na kuna mwingine kama #maradhi, ahitajiki, hatakikani kamwe. Tumuombe #Allah asijalie kwetu kuwa katika watu wasio hitajika ktk jamii.
1
1
6
158
#Mwenyezi_Mungu, hapana Mungu ila Yeye tu. Na juu ya #Mwenyezi_Mungu wamtengemee Waumini. ( Quran 64:13 )
5
152
Muozeshe binti yako kwa wenye Dini. Akimpenda binti yako atamfanyia wema, na akimchukia hato mdhulumu. Na hakika mwanzo upo katika uchaguzi mzuri. Na atakaye fanya uchaguzi mzuri, atakuwa ameweka mguu wake katika njia ya ukozi na furaha.
1
7
176
#Rabbi! Tuongoze njia iliyo nyooka. ( Quran 1:6 )
2
165
Asalam Aleykum Warahmatulahi Wabarakatuh! Vipi hali zenu? Ama baad; Tumuombe #Allah ( Azza Wa Jallah ) atukinge na kutuepusha na MADENI. Hakika madeni yatakufanya uwe muogo, wasiwasi utakujaa, na amani ya moyo itaondoka. Twakuomba Rabbi wetu Mlezi! Wepesi wa njia za riziki.
3
8
165
Mola wetu Mlezi! Na ufanye mzuri mwisho wetu, sisi na jamaa zetu katika imani. Usiku wa kwanza kaburini. Safari yake ni ndefu na akiba ni chache.
1
1
11
295
Mola wetu Mlezi! Usitujalie kuwa pamoja na watu walio dhulumu. ( Al-A'aaf #47 )
2
2
14
421
Watu ambao husikiliza maneno wakafuata lililo bora yao. Hao ndio alio waongoa Allah, na hao ndio wenye akili. ( Az-Zumar #18 ) Maneno ni mengi, basi chakatana nini unataka sema, wapi unachukua cha kusema.
1
13
356