Adv. Dickson Matata (@AdvMatata) profile picture

advocate/ lawyer

Joined July 2021
Photo by Adv. Dickson Matata (@AdvMatata)Photo by Adv. Dickson Matata (@AdvMatata)Photo by Adv. Dickson Matata (@AdvMatata)Photo by Adv. Dickson Matata (@AdvMatata)Photo by Adv. Dickson Matata (@AdvMatata)Photo by Adv. Dickson Matata (@AdvMatata)Photo by Adv. Dickson Matata (@AdvMatata)Photo by Adv. Dickson Matata (@AdvMatata)
Adv. Dickson Matata retweeted
Rai kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. @chiefodemba @AdvMatata @WakiliManyama @JohnMallya @OlengurumwaO @Advocate_Jebra .
6
25
119
6,053
Adv. Dickson Matata retweeted
Bunge lilitunga sheria ya Bandari 2004 na kukabidhi madaraka ya bandari kwa MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA). Kifungu cha 12 (d) & (e) vinatoa MAMLAKA kwa TPA kuingia mikataba yote inayohusiana na masuala ya bandari. Katiba ya nchi ibara 34(5) imepiga MARUFUKU Rais kunyang'anya madaraka ambayo si yake, ambayo Bunge imetoa kwa MAMLAKA nyingine. Rais hakuwa na mamlaka kutoa RUHUSA kwa Waziri kuingia mkataba wa IGA. Hapa amevunja Katiba ya nchi. Kutokana na sheria hii ya Bandari, ndio maana aliyesaini MoU mwezi Februari 2022, kabla ya mkataba huu alikuwa ni Mkurugenzi Mkuu wa TPA aitwaye ERIC HAMISSI. Huu mkataba ulitakiwa uwe wa kibiashara kati ya TPA & DPW tu na sio IGA ya nchi na nchi. Ndiyo maana Sheria ya Rasilimali za Taifa inataka kesi zinazohusu rasilimali ziamriwe na mahakama za ndani tu. Hii ni kwasababu, rasilimali hazitakiwi kuigiwa mikataba ya IGA wakati wa uwekezaji kwa sababu IGA inaamriwa na sheria za nje tu. Rais ametoa MAMLAKA kwa Waziri ili tu KULAZIMISHA mkataba huu wa DPW usimamiwe na sheria za Kimataifa, shinikizo lililowekwa na DPW ili kulinda biashara & maslahi yao, kitu ambacho ni BATILI. Sheria ya Bunge inapotoa madaraka kwa mtu au Taasisi ambayo si Rais, kazi ya Rais ni CEREMONIAL tu anakuja KUSHUHUDIA utiwaji saini tu. Kikatiba, Rais hana mamlaka ya kuingilia mamlaka nyingine pasipo idhini ya sheria.
28
127
5
364
45,951
Adv. Dickson Matata retweeted
CCM OYEEE
80
116
7
1,128
102,972
Adv. Dickson Matata retweeted
When people stop taking antidepressants, they may experience withdrawal symptoms or a relapse.
40
38
2
442
36,889
Adv. Dickson Matata retweeted
Ka session flani hivi usiku wa jana Na akina Tony Drizzy @AdvMatata @Legendeeofficia @JohMakini
7
7
1
76
Adv. Dickson Matata retweeted
Wakili Msomi Dickson Matata
51
152
6
2,570