Iam Babbur. retweeted
Hivi mkiwa mnadate na mtu mnatakiwa kuongea nini kwenye simu zaidi ya dakika 20 kama hamna mada ya muhimu ya kujadili lakini?Maana nachoka kabisa kila muda naambiwa eti niambie naishia kusema nipo tu yaan sina content 😆😆
Iam Babbur. retweeted
Inaumiza na kukwaza sana😌
Unapojiona unapambana kwa jasho lako lote kuukimbia umaskini, lakini wenyewe umekung’ang’ania.
Unapofika mahali nguvu zako zinapokwisha, badala ya kukubali hali au kutafuta mbinu mpya, unajikuta unaanza kuwaita wenzako au hata wale waliopaswa kukuhurumia kuwa ni "MASKINI".
Ile ni denial🚶♀️
Kwa mazingira yalivyokuwa humu leo hapa lazima umetukanwa 😂😂
Inaumiza na kukwaza sana😌
Unapojiona unapambana kwa jasho lako lote kuukimbia umaskini, lakini wenyewe umekung’ang’ania.
Unapofika mahali nguvu zako zinapokwisha, badala ya kukubali hali au kutafuta mbinu mpya, unajikuta unaanza kuwaita wenzako au hata wale waliopaswa kukuhurumia kuwa ni "MASKINI".
Ile ni denial🚶♀️
Iam Babbur. retweeted
Home boy kaamua kutuumiza kabisa aisee
Anajua kabisa wanae tunaishi kwa kubeti lakini yeye bila huruma na timu yao ya Gorztepe wamemkazia fernabach
Pia anajua kabisa ni ngumu wanae kumuamni goztepe kwenye uekezaji lakin yeye hakujali hilo
Kweli kikulacho kinguoni mwako
Iam Babbur. retweeted
Leo mapema tu pale💚
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰DAY
🆚 Kagera Sugar FC
🗓 01 Nov 2026
⏱️ 01:00 Usiku
🏟 KMC Complex
🏆 #NBCPremierLeague
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Iam Babbur. retweeted
Kuanzia Tarehe ya Leo mpaka naingia Kaburini sintowahi cheat 💔haijalishi itatokea Nini Ila sintowahi 🥺
Iam Babbur. retweeted
Good morning TCS Lovers!😍
Kwa matokea mazuri ya usafi wa nyumbani na ofisini kwako changua products zenye ubura kutoka kwetu.
Location📍:Ubungo Mawasiliano
Contact☎️: 0786700273
Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja
Iam Babbur. retweeted
Usiruhusu changamoto za leo zikufanye usahau uzuri wa maisha. Kila siku ni nafasi nyingine ya kuanza upya, kujifunza na kuwa bora zaidi.🙏
Iam Babbur. retweeted
Dunia nzima waandamanaji wanalindwa. Hakuna excuse ya kuuwa waandamanaji. 29/10!💔
Iam Babbur. retweeted
Dainess mdogo wangu walikupiga risasi tabata na mwili wako haukuonekana tukafanya ibada ya picha kanisani 😞 baadae mwili ukapatikana kitunda ukiwa umeharibika sana na kubadilika
Ni mwaka sasa tunakukumbuka sana ni ngumu kusamehe na kusahau 🙏🏻
Iam Babbur. retweeted
When doctors tried to save the wounded, the police would refuse and take them to the mortuary directly for them to die there. - CNN😭😭😭
Iam Babbur. retweeted
🇹🇿 🕯🕯🕯🕯
Vipi hali ilivyo mitaani hapo ulipo leo. Kuna ulinzi sana? 🕯🕯🕯
Thoughts please 👇
Iam Babbur. retweeted
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia.
Mauaji ya October 2025 yalikua yanaweza kuepukika na uchaguzi ukafanyika kwa amani na usalama.
Kwasababu ya kiburi na uchu wa madaraka watawala waliamua kupuuza wito wa mda mrefu wa viongozi wa dini, vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserikali na hata watu maarufu ya kutaka mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi huru na haki.
Mpaka sasa mwaka mmoja baadae Nchi iko kwenye mkwamo mkubwa wa kisiasa, watu wanaendelea kutekwa, kuuawawa na kupotezwa.
Kila anaetoa sauti ya kukemea uovu na kutaka maridhiano na uwajibikaji wa kweli anakabiliwa na kifo au mashitaka ya uongo.
Inaonekana hawa watawala wameshindwa kujifunza kwa yale mabaya yaliyotokea, Inaonekana wanafurahia kuendeleza utawala wa mkono wa chuma, udikteta na ubabe, mauaji, utekaji na kunyamazisha badala ya kushawishi na kutatua matatizo.
Kwa kutumia njia hizi mbele ni giza tupu, hakuna sehemu ambayo utawala wa kibabe Umefanikiwa kunyamazisha watu wote, Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 70, hakuna siku watu wote hawa watanyamazishwa kwa uongo na kikundi kidogo cha watu kwa kutumia ubabe.
Njia pekee ya kutatua mkwamo huu ni.
1. Kumuachia Mwenyekiti Lissu na kufuta kesi za uongo dhidi ya wanachama wetu wote.
2. Kuachia mateka wote na kusitisha utekaji na mauaji ya kiholela.
3. Kuruhusu msuluhishi huru (mediator) kuleta watu pamoja na kuzungumza kwa ukweli na uwazi.
4.Uwajibikaji bila upendeleo kwa wahusika wa mauaji, kulipa fidia familia za wahanga, kutibu majeruhi wote na kuwapa fidia.
5. Kuruhusu Uchunguzi huru na kuomba radhi mbele ya Watanzania kwa makosa makubwa yaliyofanywa na vyombo vya dola dhidi ya raia wake.
6. Kuandika katiba mpya ya Nchi na sheria za uchaguzi ambazo zitarudisha umoja na haki kwa kila mtu.
7. Kutamka kwa uwazi kwamba makosa kama yale hayatajirudia tena kwenye Nchi yetu.
8. Kuhakikisha familia zinapata miili ya wapendwa wao na kufanya maziko ya heshima, kiafrika na kidini.
Kuendelea kutumia ubabe ni kuchochea chuki, uhasama na visasi kwa siku zinajazo…
Watawala badala ya kutumia chawa na ubabe kujaribu kuhujumu Chadema na uongozi wa Chadema, Tumia busara kufanya jambo sahihi la kuponya Nchi hii.
Tunajua mipango yenu dhidi yetu, lakini haki haijawahi kushindwa.
Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliouwawa kikatili na kibabe, poleni majeruhi na wahanga wote.
Haki inaweza kuchelewa Lakini haki itapatikana tu.





























