Kijana ya Chuka retweeted
Good job. Lakini kama mshukiwa I prefer impromptu. Hiyo ya kupanga time kuna watu watasema ameleta mtu wa kuongea on her behalf
We give @njeri__254 Aka Kelvin Mwangi 6hrs to prove to us that he's not a catfish and to provide the so called mrija's screenshot that he's claiming that i send to him before the main space that would be held at 8:00PM.
THEME: CATFISH FINAL TOUCHES. Don't miss this 🔥.
Kijana ya Chuka retweeted
KCSE main papers zilianza Leo na ata hatuna habari, back in the days times za Matiangi na magoha kila mtu ata mtoto alizaliwa jana used to know there is exams in the country , sahii ata 90% of Kenyans hawajui who the Cs for education is.🥲
Kijana ya Chuka retweeted
Dawa Jeff koinange alipewa na malala Sunday ilipenya kweli .. the whole day ametweet juu ya hiyo interview 🤣🤣🤣
Ni uchungu kuambiwa ukweli lakini
Kijana ya Chuka retweeted
Hamkuniambia kukuwa wazimu ni tamu hivi, sai najiongelesha nkicheka na akuna mtu ananiuliza
Kijana ya Chuka retweeted
Ati cetrizine inacalculate circumference bila formula ama mnasema nini bwana
Kijana ya Chuka retweeted
Life is moving very fast walai, some of my classmates have already started taking their kids to nursery schools, its been four years for hevens sake!!
Kijana ya Chuka retweeted
Since nijuwe panadol huwa inaekwa kwa local kibandaski or kfc mtaani foods for some reason niliwacha mambo ya kukula kula street foods😆
Kijana ya Chuka retweeted
Jamaa wa Samosa nikama ameweka pilipili ya wahindi 🫢🫢
Leo kila msee ni running nose tu wawawaaaa
Kijana ya Chuka retweeted
😂😂D students wame video call A student with a first clas wakiflex na vifungu za E class😂😂


























