Thank you to all our viewers, listeners, clients and partners for trusting us and choosing us every day. Happy Customer Service Week! 💚
#CustomerServiceWeek2026
#AD
Own a prime plot just 10 minutes from Che Shale Beach and the Mambrui Dunes, and only 25 minutes from Malindi CBD.
Call or WhatsApp 0709 18 06 56 today to reserve your plot.
#PIMCGlobal
Wanasema hali hiyo imeongeza hatari ya magonjwa, kuharibu mazingira na kusababisha baadhi ya watoto kuugua. #wimbilabahari
Akizungumza Machakos, amesema upinzani utaendelea kupambana na ufisadi, kodi ya juu, utekaji nyara na mauaji iwapo utachukua madaraka. #wimbilabahari
#AD
Own a prime plot just 10 minutes from the beach and 30 mins from Malindi CBD.
Call or WhatsApp us now on 0709 18 06 56 to reserve your seat.
#PIMCGlobal
Why pay more when you can save?
Enjoy 10% OFF every trip with WEEGO.
Wherever you're headed, get there for less. Book your next your ride today!.
#WEEGO #RideMoreSaveMore #WhenItMatters @weego_ride
Mtoto wako anapokuwa hajisikii vizuri, ungependa kuwa na uhakika kwamba yuko salama na anaendelea vizuri.
Kliniki yetu ya watoto hufunguliwa kila Jumanne kuanzia 9:00AM, ili kumpa mtoto wako huduma bora za afya anazohitaji.
Kwa maelezo, piga simu 0765 000 690.
@EquityAfya
Kodonde anatarajiwa kushiriki mashindano ya dunia ya kuogelea kwa shule jijini London Mei 2027 na mashindano ya Africa Aquatics Zone 3 jijini Dar es Salaam. #wimbilabahari
Wamesema hali hiyo pia imeathiri shughuli za kiuchumi, huku wafanyabiashara wengi wakifunga maduka yao mapema kwa hofu ya msako huo. #wimbilabahari
Ngozi yako inaweza kukuonyesha dalili kuwa kuna jambo lisilo sawa kiafya.
Ikiwa una tatizo la ngozi ambalo ungependa kuchunguzwa, huduma za magonjwa ya ngozi zinapatikana kwa miadi katika kituo cha EQA Kilifi.
Kwa maelezo zaidi, piga simu 0765 000 690.
#EquityAfya
Mtoto wako anapokuwa hajisikii vizuri kama kawaida, unahitaji kuwa na uhakika kuwa yuko salama.
Kliniki yetu ya watoto hufunguliwa kila Jumanne kuanzia saa 3:00 asubuhi, ili kumpa mtoto wako huduma ya afya anayohitaji.
Kwa maelezo zaidi, piga simu 0765 000 690.
#EquityAfya
Jaji Nyaundi Mande amesema sheria ya nyumba za bei nafuu tayari inaeleza utaratibu wa kugawa nyumba hizo, na mabadiliko yoyote lazima yafanywe kwa kufuata sheria. #wimbilabahari
Padri Richard Ooko Airo wa Kanisa la St Joseph Tudor, amesema imani haipaswi kutumiwa kuwatisha au kuwashawishi watu kufanya maamuzi ya kuwadhuru. #wimbilabahari



















