Pinned Tweet
Mwandishi: Wewe unataka kufanya na kuongeza biashara na Russia sasa mnawezaje kuvuka vikwazo (Russia imeekewa vikwazo).
Rais: Tanzania hatupo kwenye vikwazo. Vikwazo ni vya Russia lakini sio Tanzania na huyo Russia vipo kwnye baadhi ya vitu kama mafuta yake lakini mafuta Tanzania haitegemei uagizaji wa mafuta Russia.
N:B
Jibu la swali " unaitwa nani?" sio mda wote
"Naitwa fulani" mwengine anaweza kwambia "najuulikan kama fulani" au unaweza niita fulani.
Nilichogundua kumbe huwa mnamfatilia kwa ukaribu sana mama kila hatua na kila analoongea mnafanya kazi nzuri sana.😆
BARADHULI retweeted
Sometimes tumuombe Mungu aweke bahati upande wetu juhudi pekee hazitoshi wakuu 😢
Sometimes tumuombe Mungu aweke bahati upande wetu juhudi pekee hazitoshi wakuu 😢
BARADHULI retweeted
Umri wa miaka 27 , tarehe 20 mwezi wa 12 anafikisha miaka 28..
Yule mchezaji aliyetabiriwa na wengi atashika nafasi ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kwenye urithi wa kuchukua tuzo nyingi za balon dor hana tuzo yoyote ile ..
Daah🥹
BARADHULI retweeted
Replying to @FabrizioRomano
Trophyless Yamal winning the Ballon d’Or would’ve been the biggest joke in football history 😭🤣
BARADHULI retweeted
HARRY KANE IS THE NEW BALLON D'OR!
#ballondor
BARADHULI retweeted
Ukipata kama iki alafu fridge ina mazaga, umeme upo, router imelipiwa alafu kuwe na kamvua nyie nyie😂🫵
Ukipata kama iki alafu fridge ina mazaga, umeme upo, router imelipiwa alafu kuwe na kamvua nyie nyie😂🫵
BARADHULI retweeted
SI-NDOTO TENA!
Bima ya Afya kwa Wote. For TSh 150,000 a year, a household of up to six is protected from heavy medical bills. Thank you, President Samia, for easing ordinary Tanzanians’ burden.
#HakunaKilichosimama #SamiaDelivery

















