Nairobi, Kenya
Joined March 2019
#TheRaveKbc Hewani🔥 @RadioTaifaFM Naye @StanoDj Tuipige kama Manchester United uko Como
Simba akishindwa kuwinda, panya hulala kwa amani 🤔🤔. Yetu shughli #TheRaveKbc kuanzia 10pm.. Njo utoe stress zako na reggae safi. #ReggaeMusicSoNice
1
1
34
Johntey Suzzie Boy 👨 retweeted
#JAHFLIGHT 🚁🚁 Kinoo87 Well Represented ☑️
2
23
#TheRaveKbc Sisi ao 🔥 @StanoDj
Pesa si kila kitu lakini ukikosa pesa utaona kila kitu 🤔🤔. Hata hivyo, shughli tunayo leo.. #TheRaveKbc kuanzia 10pm.. Pita na wawili watatu hivi tukisonga aisee... #ReggaeMusicSoNice
1
1
19
Maisha ni kama chapati, ukiyageuza vibaya yanaungua 🤔🤔 Hapo vipi wakuu.... #ReggaeVibesKbc furahiday Edition ndio mpango tosha ,2pm - 4pm. #ReggaeMusicSoNice
1
1
30
#Tafrija Hewani @RadioTaifaFM naye @Mtotomzuri001 "Hii Ni Kubwa na Si Chocha'
Karibu #Tafrija za Kutwa @RadioTaifaFM Na Mie Wako @Mtotomzuri001 "Hii Ni Kubwa Na Si Chocha'
1
1
22
#ReggaeVibesKbc Mpango mzima hewani @RadioTaifaFM 2pm-4pm naye @StanoDj
Wakuu...Ati tulikuwa tumefikisha mtaala wa riddims wapi?? Leo tuna Rockers Corner Riddim Vs Happy Wife Prt 1 Riddim kwenye mizani.. #ReggaeVibesKbc hewani 2pm - 4pm. #ReggaeMusicSoNice
1
1
39
#ReggaeVibesKbc @StanoDj 2pm-4pm @RadioTaifaFM Life Teachings Riddim ✅
Anayepuliza tarumbeta la kiburi mara nyingi hupoteza pumzi kabla ya wimbo kuisha 🤔🤔. Leo kwenye #ReggaeVibesKbc >> Life Teachings Riddim Vs Zanzibar Riddim. Utapigia gani tarumbeta??? #ReggaeMusicSoNice
1
1
28
Johntey Suzzie Boy 👨 retweeted
Round hii William Ruto aambiwe hakuna kuchoma watu kwa kanisa. Na hakuna Hague. Tutamfunga jela hapa tu Kamiti. Wacha vitisho!!!
833
3,205
389
5,216
Happy New Week @Mtotomzuri001 Na Karibu mpangoni mzima wa #Tafrija
1
1
30
Wrong is wrong,even if everyone is doing it.Right is right,even if no one is doing it. #ReggaeSplash
14
Ukimpenda sana, ata kukoroma kwake kunakuwa ringtone ya moyo 🤔🤔🤔. Leo kwenye #ReggaeVibesKbc , wamesema tuwekele Boogie Down Riddim Vs Grab Yuh Lass Riddim. Hapo vipi wakuu??? Hewani >> 2pm - 4pm. #ReggaeMusicSoNice
1
1
29
Hey People... Ni Furahi Day.. Taja ngoma utakayo Uchezewe... Karibu #TafrijaChaguoLako @RadioTaifaFM Na Mie Wako @Mtotomzuri001 "Hii ni Kubwa Na Si Chocha"
10
Mara ya Kwanza kupata simu ya Mkononi,Ni kosa gani la kijinga ulilofanya? Karibu #Tafrija Ki TBT na Mie wako @Mtotomzuri001 @RadioTaifaFM 'Hii Ni Kubwa Na Si Chocha'
1
1
23
#Tafrija Itambee Zaidi @RadioTaifaFM @Mtotomzuri001 Hadi Tamati Aisee
#Tafrija Time..... Mambo Vipi? Karibu Mpangoni.. Pata Matatu ya Jumatatu Na @Mtotomzuri001 @RadioTaifaFM #Tafrija "Hii Ni Kubwa Na Si Chocha"
13
Mvivu akifukuzwa na kuku, atasema ni mazoezi ya asubuhi 🤔🤔. Hata hivyo, tuingie kwenye #ReggaeVibesKbc #ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm . Hapa tunatibu uvivu pia. #ReggaeMusicSoNice
1
1
42
#ReggaeSplash Ni mbayaa 🔥 102.7FM @Mate_Tongola ndani ya @radiomaisha
#ReggaeSplash A show of the people, by the people, and for the people...
21