COPRA Tanzania (@Copra_tz) header
COPRA Tanzania (@Copra_tz) profile picture

Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko. Cereals and Other Produce Regulatory Authority (#COPRA).

Tanzania
Joined December 2023
TAARIFA KWA UMMA
4
10
1,232
Watumishi wa Mamlamka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) wanashiriki mafunzo ya Mfumo wa Manunuzi ya Serikali wa NeST jiji Arusha.
2
1
2
392
Mafunzo hayo yanalenga kuwapa watumishi maarifa ya matumizi ya mfumo wa NeST ili waweze kufanya manunuzi ya serikali kwa kuzingatia Sheria, Kanununi na Taratibu za Manunuzi ya Umma.
84
Waziri wa Mifugo Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametembelea banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kwenye maonesho ya Wiki ya Mazingira Duniani Kitaifa.
1
1
6
397
COPRA inashiriki maonesho ya Wiki ya Mazingira Duniani kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention jijini Dodoma.
1
74
Viongozi na wananchi mbalimbali wametembelea banda la Mamlamka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko ( COPRA) katika maonesho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa.
66
Miongozo inayotolewa na COPRA ni kwa mujibu wa sheria
1
4
289
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi Irene Mlola amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za vyama vya ushirika vya kilimo katika ujenzi wa miundombinu ya kuhifadhi mazao na vituo vya kukusanyia na kuuzia zao la parachichi.
191
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi. Irene Mlola amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea mashamba ya parachichi na kuzungumza na wakulima wa zao hilo vikiwemo vyama vya msingi vya ushirika katika wilaya ya mkoani Mbeya
7
366
Mnada wa Kwanza wa Ufuta
1
6
2
22
1,988
HONGERA SANA BW. BARIKI NGAILO
6
415
FURSA YA SOKO LA MBAAZI NCHINI INDIA
2
18
1
32
5,632
Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko Bi.Irene Mlola , Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Horticulture Association (TAHA) Dkt. Jacqueline Mkindi pamoja na uongozi wa (ASTA).
1
1
5
352
Mhe Bashe amesema Serikali inatambua juhudi za wakulima wadogo na itaendelea kuunga mkono juhudi hizo ili kuwawezesha kuyafikia masoko ya kimataifa moja kwa moja. Waziri Bashe ameongeza kuwa Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za wakulima na wafanyabiashara wa ndani ili
1
1
1
168
wakue kibiashara na hatimae wawe kiungo muhimu na imara kitaka kukuza na kuendeleza sekta ya parachichi nchini.
1
1
153
Mkurgenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko( COPRA) Bi. Irene Mlola amekutana na kuzungumza na uongozi shirika la IDH ( Sustanable Trade Initiative )
1
2
286
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi. Irene Mlola leo tarehe 22 Februari, 2025 amekutana na watumishi wa Mamlaka hiyo wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
1
4
15
1,027
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko ( COPRA), Bi Irene Mlola amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
2
2
8
437
Aidha Mkurugenzi Mlola ameongoza kikao cha Wataalam kutoka Wizara ya Kilimo, Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu (TPHP), Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI),
1
1
2
207
Umoja wa Wakulima wa Parachichi Tanzania (ASTA) na Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kujadili namna ya kutatua changamoto zinazolikabiii zao la parachichi.
1
2
156