Do Reforms (@DReforms1) profile picture
Joined November 2025
SOLIDARITY WITH TAL. Siku ya 14 JELA bila HATIA. TUTAFIKA TU 14 20.11.2026.
9
53
607
Mtu ambaye anaingia twitter kwa vpn kuja kuitetea/kuisifia serikali ambayo imefungia platform hiyo hiyo anaitumia binafsi namuona ana changamoto ya afya ya akili hata nyie si mnawaona?
23
52
1
394
7,435
Ingekua ni mimi ndo nimepata 98% ya kura zote nisingetaka maridhiano na mtu
12
25
6
298
9,063
Hapo nje wamepaki zaidi ya magari 300, kila moja sio chini ya millioni 700. But but but β€œtunakopa kwa sababu watanzania hawalipi kodi.”
22
25
4
154
6,123
HATA ukiwa na nyumba nne Mbweni. Ipo siku watu usiowajua, wataishi humo na wala hawatajua kama uliwahi kuishi. Usikanyage watu ili kupata vitu. Tendea watu mema. Matendo mema yatakufuata kaburini na hata mbinguni. Ikawe kareem Ijumaa yako.
11
73
3
291
4,296
Do Reforms retweeted
Mnashindwa kusimamia resourcea zinufaishe Wananchi wote, mnajitengenezea kikundi cha kutumbua nchi, hafu lawama wanapewa wananchi 🀣
KILIMANJARO: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameyasema hayo leo, Novemba 20, 2026, katika Mkutano Mkuu wa Mwaka 2026 wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Moshi (CCP). Zaidi jamii.app/KukopaFesha #JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
36
34
2
236
9,375
Do Reforms retweeted
TUTAFAKARI KWA PAMOJA: Kwa nini Marehemu Angela Wariaeli, HAKUANDAMANA, lakini ALIPIGWA RISASI?
33
152
2
802
14,461
Gari za wagonjwa haziepeleki watu kwenye huduma bora sababu hazina mafuta halafu kuna mchizi anapokelewa na gari 300 mahali haha
13
30
4
298
8,775
Pole pole alisha toa CODE MAPEMA kuhusu maridhiano. kiufupi jamaa alikuwa anaelewa kila kitu kitakacho kuja kutokea πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒπŸΎ TRUE HERO
4
132
1
574
12,592
The @TheChanzo wali cover hali ya angel tarehe 28 October. Alikuwa anaongea, mwenye faraja pamoja na maumivu, mwenye hope. Wiki 3 za Muhimbili, Marehemu. Maana yake ni bora angebaki nyumbani
VIDEO: MATUMAINI YA ANGEL WARIAELI KUFIKA MUHIMBILI YAGEUKA KUMBUKUMBU Video ikimuonyesha Angel Wariaeli akiwa na matumaini ya kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu, kabla ya safari yake ya maisha kufikia mwisho akiwa hospitalini hapo.
6
62
220
7,378
Do Reforms retweeted
πŸ’” Bibi alipigwa risasi akiwa sebuleni kwake siku ya mauaji ya October 29, kisha akapelekwa mochwari akiwa bado hai! Akiwa huko, alikuta mochwari imejaa miili ya watu iliyolazwa sakafuni. Wauaji hawakubaki mitaani, waliwafuata watu hadi majumbani mwao. πŸ’” @SuluhuSamia unataka na Chadema bure hawa ndoo watu unatakiwa ukaridhiane nao
3
48
3
94
7,891
Maajabu ni kwamba wanakwenda kuridhiana waliofanya unyama huo wakitegemea hawa watasahau.
πŸ’” Bibi alipigwa risasi akiwa sebuleni kwake siku ya mauaji ya October 29, kisha akapelekwa mochwari akiwa bado hai! Akiwa huko, alikuta mochwari imejaa miili ya watu iliyolazwa sakafuni. Wauaji hawakubaki mitaani, waliwafuata watu hadi majumbani mwao. πŸ’” @SuluhuSamia unataka na Chadema bure hawa ndoo watu unatakiwa ukaridhiane nao
6
9
613
Mlifikiri mtapoteza ushahidi? Kamati ya Jaji Lina huenda kuna machawa wanawadanganya; wanaharakati walihonga waandamanaji, sijui Chadema walihamasisha. Ushahidi kama huu upo watu wanaogopa kupotezwa. Wakati utafika haya yatawekwa hadharani na hayatazuiwa na maridhiano "fake."
6
30
3
105
3,972
PAMEANZA KUCHANGAMKA🚨 PhD Zimeanza kuzungumza hadharani πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒπŸΎ Maneno ya Rev.Dr.Owdenburg Mdegela (PhD), Baba Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa kwenye ibada maalumu ya Jubilee ya ujio wa Wamisionari wa Kilutheri Tanzania, iliyofanyika Dayosisi ya Kati (Singida).!
20
189
13
873
39,402
Wapendwa narudia TUSIKATE tamaa na tusiache kuwadai ndugu zetu! Sam alitekwa na walizusha kuwa wameshamwua! Serikali ya Uganda ilikataa kumshikilia, kesi yake ya Habeas Corpus walipiga chini ila mawakili walikatia rufaa Alafu wazalendo ndani ya mfumo wali- leak video wakionyesha akiwa hai na hatimaye kapelekwa mahakamani! Hata kama ana hali mbaya ila kesi hii imeivua nguo serikali dhalimu na wanaharakati walikataa kumkatia tamaa! Tusiache kupazia sauti waliotekwa Hakuna kukubali habari za wao kuuwawa!! Huu uovu utaisha muda si mrefu Afrika Mashariki! #EndAbductionsEA
Comrade @SamMugumya’s current look as captured by Bukedde!! He couldn’t stand like his co-accused! Since he was charged in the court martial, the journey is still long but we can only Thank God that we atleast now know where he is😳
4
123
1
496
38,057
Do Reforms retweeted
Replying to @mshambuliaji
Wakafanye kazi kwani umetoa hizo kazi wakakataaπŸ€”
1
1
211
miaka michache tu iliyopita, ulikuwa huwezi kuishitaki serikali bila kupata idhini yake. yaani, ilikuwa ni lazima serikali ikukubalie kuishitaki ndiyo uweze kuishitaki. haiko hivyo sasa hivi, na ilimchukua mtu mmoja tu kubadilisha historia. TUNAWEZA! πŸŽ₯: @holy_mbise
5
75
362
8,951
Replying to @MpaleMpoki
Ishakuwa banana republic!!! Au "amejielekeza" vibaya?
1
1
64
Hilo likitanda la 6 kwa sita kwani unalilalia lote sasa? Huwa unalala kwenye kale ka sehemu kadoncho ka pembeni. Acha kutesa watu wewe. Wabariki watu kwa vitu Mungu alivyokubariki navyo. Amevipitisha kwako viende kwa wengine.
13
28
3
178
11,737
Do Reforms retweeted
Wenzako wanasema kilishakufa hiki chama. Msajili afute maiti?
WATANZANIA WAMUOMBA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUKIFUTIA USAJILI CHADEMA. Baadhi ya wananchi wamewasilisha ombi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, wakimtaka kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikiwemo kukifutia usajili kwa madai ya kukiuka masharti na taratibu zinazosimamia uendeshaji wa vyama vya siasa nchini.
5
4
27
1,715