
My circle so small, stick to my script and just ball. Manchester United is my lifetime partner #GodWillRise @NipseyHussle Marathon continues..🏁
Mwanza, Tanzania
Joined March 2023
- Tweets16.6K
- Following739
- Followers911
- Likes65.1K
Eddie Jr retweeted
Unafanya kazi Dar na unalipwa 300k monthly maanake kwa mwaka unategemea kukusanya 3.6M mkuu nikushauri tu rudi mkoani fursa ni nyingi sana.
Hauwezi toboa kwa 3.6M kwa maisha haya ya Dar tofauti na hapo utaendelea kulalamika Dar kugumu.
Eddie Jr retweeted
Shujaa wa walimwengu ni yule anaeweza wakati wa kufanya lakini sio anaeshindwa wakati wa kujaribu
Utasota kipindi wanafanya case investigation ambayo itaambatana na vipimo kwa marehemu, na majibu yatatoka whether kafa natural death au lah then protocol zitafuatia kama ni kufuta jarada la kesi au kuendelea nalo depending na majibu yatakayoletwa na Daktari.
1
7
152
Eddie Jr retweeted
Kama hujawahi kuichapa hadi akatoka kitandani akaenda kukaa chini huku amelishika tumbo lake design flan kama anajikunja,
We badoo sana ongeza juhudi kwenye uchakataji
Eddie Jr retweeted
Replying to @EdgerJr22 @Kachero_jr
Huw najiuliza mara kibao hivo lakin bado ngum maan huwa naona verse zao zinafanana kbs vitu walivyoongeleaa.
KLM aliuaa zaidi🔥🔥🔥
Eddie Jr retweeted
Barua kwenda Dar Es Salaam ✅
Barua kwenda Mombasa ✅
Mombasa Na Mzizima ✅
Kipchoge ✅
'Zaidi ya joto mvua na jua na msoto ndio ulinikuza nikakua labda ghetto na washikaji wanaonijua"
This ink is so underated man.!!
Ngoma nyingi za late Nipsey Hussle naweza zisikiliza kwa kuzirudia rudia ila Ile double up naweza isikiliza siku nzima bila kuchoka.
Eddie Jr retweeted
Replying to @NashiruMusa18 @EdgerJr22
Edger kama hajapigwa Na jua huwa Na busara Na akili sana
Eddie Jr retweeted
"Tafuta kazi ya ndoto yako ukiwa kazini"
Cc: @EdgerJr22










