Komu Printing (@Elparton112) header
Komu Printing (@Elparton112) profile picture

Laboratory scientist πŸ₯Ό | Printing Services| ArsenalπŸ”΄βšͺ️/ Yanga/Story Za Mziki bongo #MadiniNaPatron Whatsup 0769063447 business https://teapaw.org/t.co/eafnnrdxo3

Tanzania
Joined February 2020
𝙀𝙑'𝙋𝙖𝙩𝙧𝙀𝙣 𝙆𝙀𝙒π™ͺ π™‹π™§π™žπ™£π™©π™žπ™£π™œ. Sasa tumefungua Ofisi Yetu Mpya π™Žπ™žπ™£π™―π™– 𝙆π™ͺπ™’π™šπ™ π™ͺπ™˜π™π™–πŸ“ Tunatoa huduma ya Kuprint. πŸ’¨ Picha Mbao πŸ’¨T shirt πŸ’¨ Tuzo πŸ’¨Vikombe πŸ’¨ Business Card πŸ’¨ Mabango πŸ’¨ Canvas Karibuni Sana. Whatsup 0769063447
34
109
1
164
96,527
𝑰𝑫 π‘«π’†π’”π’Šπ’π’Šπ’π’ˆ 𝑨𝒏𝒅 π‘·π’“π’Šπ’π’•π’Šπ’π’ˆ πŸ€„οΈ Complete ID Desining And Printing βœ… Event ID 10,000/= ID za maofisini 10,000/= ID Na kamba ikiwa Printed 15,000/= Oda kuanzia ID 5 ☎️ 0769063447 Sinza Makaburini πŸ“
3
2
100
Muhuri Wa Kupunch Unaobadilika tarehe 60,000/= Ambao haubadiliki tarehe 55,000/= ☎️ 0769063447 Sinza Makaburini πŸ“
6
12
261
Hili Jua La Dar Au Ni Mazoezi Ya Kuingia Jehanamu?
1
7
350
Komu Printing retweeted
Labda njiwa alisema "hiyo simu ni mia nne ishirini tu boss" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwa tapeli zote za Mwakimi mtu aliyempiga vizuri ni NjiwaStoreπŸ˜‚ Kampa simu ya 420,000/= kafikisha kwa mteja Njiwa akatumiwa 420/= πŸ˜‚πŸ˜‚
2
1
4
132
Ile kauli ya β€œAibu Utaona Wewe” ndio inamfaa Kimi boyπŸ˜‚ Ameshaomba msamaha Jumatatu tunaendelea tulipoishia shida yetu 2,000/= tu πŸ˜‚
1
2
18
478
Kwa tapeli zote za Mwakimi mtu aliyempiga vizuri ni NjiwaStoreπŸ˜‚ Kampa simu ya 420,000/= kafikisha kwa mteja Njiwa akatumiwa 420/= πŸ˜‚πŸ˜‚
21
11
1
190
9,169
Ila jamaa ana roho ngumu sana kapewa platform na spika yeye hajali karuka na watu wake pia
Mwakimi sio TAPELI Mwakimi ni Mgonjwa wa Akili.
2
2
1
11
794
Komu Printing retweeted
Kwa wale ambao mwakimi kawaweka private Niwajuze kua kawaomba msamaha , kasema sameheni tuanze upya kusaidiana
16
14
3
46
4,093
Kwa haraka haraka jamaa miamala yote inafika 5M.
5
6
1
62
2,454
Komu Printing retweeted
Nilikuwa kwenye kituo cha mafuta cha PUMA, jirani na NMB Headquarters, Posta. Akatokea jamaa mmoja akiwa na gari aina ya Spacio. Akaniomba nimsaidie mafuta. Alieleza kuwa mtandao wa Exim Bank ulikuwa unasumbua, hivyo ameshindwa kufanya malipo, na alikuwa anaelekea Mbagala. Alilalamika sana na kuomba msaada. Kila nilipojaribu kumkatalia, aliendelea kusisitiza na kueleza hali yake. Mwisho wa siku, nikajikuta namuwekea mafuta ya Shilingi 20,000/=. Baada tu ya kumuwekea mafuta na kuondoka, mzee mmoja aliyekuwa mlinzi pale kituoni akaniambia: "Yule jamaa ndiyo tabia yake, huwa anafanya hivyo." Nilijisikia vibaya sana. Ukweli ni kwamba siku hizi utapeli umekuwa mwingi. Unakutana na mtu anayekuomba msaada kwa unyenyekevu, lakini baadaye unagundua huenda ulikuwa sehemu ya mchezo wake. Inafika mahali unashindwa kujua nani mwenye shida ya kweli na nani anayetumia huruma za watu kujinufaisha. Cha kusikitisha zaidi, matendo ya watu wachache yanawafanya hata wale wenye shida za kweli washindwe kupata msaada.
27
23
2
224
14,056
Komu Printing retweeted
Ubaoni : 75,000 /= . Size 41-45 . Njoo WhatsApp Chap ☎️ : 0743931620
11
8
261
Komu Printing retweeted
Ubaoni : 110,000 /= . Size 40-45 . Njoo WhatsApp Chap ☎️ : 0743931620 . πŸ“ŒKariakoo mtaa wa Congo na narung'ombe brotherhood tower sec floor Shop S6 βœ…
8
7
116
Komu Printing retweeted
mtumie huyo mdada hela, usilipe dukani.
Jana nilichukua mkopo dukani wa 35,000/= leo nimepita nataka kulipa namuuliza yule dada naambiwa kafukuzwa kazi asubuhi. Nampigia simu ananiambia hela nimtumie kwenye namba yake. Nimtumie yeye au nilipe tu dukani moja kwa moja?
1
1
2
174
Repost πŸ˜₯
8
8
196
Kweli watu wa mtandaoni sio wa kuwasikiliza. Nimemtumia dada hela kama mlivyosema kumbe ameniandika kwenye daftari la madeni sasa nadaiwa dukani na dada hapokei tena simu.
Jana nilichukua mkopo dukani wa 35,000/= leo nimepita nataka kulipa namuuliza yule dada naambiwa kafukuzwa kazi asubuhi. Nampigia simu ananiambia hela nimtumie kwenye namba yake. Nimtumie yeye au nilipe tu dukani moja kwa moja?
11
4
1
74
6,569
Napokea oda ya door signs za aina zote quality Kabisa printed na details zakoβœ… Form boar 7,000/= Acrylic 15,000/= 2D door signs 20,000/= Napokea Oda Kuanzia 5 na kuendelea ☎️ 0769063447 Sinza Makaburini πŸ“
1
8
12
395
Napokea Oda Ya Laboratory Coats Quality Kabisa Printed Na Details Zakoβœ… Oda Kwa Muslim University Morogoro Imetoka 35,000/= Nakupa Lab Coats Printed Oda kuanzia 5 30,000/= Nakupa Lab Coats Printed Oda Kuanzia Coats 10 na kuendelea ☎️ 0769063447 Sinza Makaburini
1
15
15
658
Komu Printing retweeted
39-46 Bei:140000 Simu:+255692608572 Narung'ombe na msimbazi Mikoani na nchi jirani tunatuma Dar tunafanya delivery Naomba nisaidie kurepost
16
15
178
Komu Printing retweeted
Size 39-45 Bei:85000 Simu:+255692608572 Narung'ombe na msimbazi Mikoani na nchi jirani tunatuma Dar tunafanya delivery Naomba nisaidie kurepost
1
11
8
108
Komu Printing retweeted
Aiwa Soundbar 220w 220,000 ~Free delivery ~Mikoani unatumiwa Call/Whatsapp-0625965198
1
23
29
897