Godwin✞🇰🇪 retweeted
Unajipata na thao unasema uende kwa Jonte ununue two or three crib stuffs only to check balance unaona uko na fuliza ya 130 buana
Maisha inazidi kuwa hatari 😭
Godwin✞🇰🇪 retweeted
Una host mwanamke, after three days unaambiwa "sai ni saa ngapi unafika kwa hii nyumba?" crazy creatures 😂 😂
Godwin✞🇰🇪 retweeted
unaeza ona polisi wa kenya ama DCI useless wait until siku watakupata na kesi unaeza kua jailed easily kama bhangi alf wanaanza kusema dangerous word kama "funzo kwa wengine" or "hata sina haja na pesa yako"
Godwin✞🇰🇪 retweeted
When you have to choose between the champions league you want and the conference that wants you
Godwin✞🇰🇪 retweeted
fuck, the amount of money iko online hataa tukiamua kula wote haiwezi isha, acheni kugate keep hizii opportunities mahn
Godwin✞🇰🇪 retweeted
Hebrews 12:1
...let us run with ENDURANCE the RACE that is set before us...
Pray as you keep your goals into perspective 🧐🙏🏼💯💯
Godwin✞🇰🇪 retweeted
Kuna wasichana hunipenda tu time wamelewa. Kwani nakaa aje bana? Mwingine saa hii kamelewa ni phone back to back. But time ako sober atajifanya hanijui. Na mkiona vile ananitext ata nyi mtanionea huruma tu. Very violent texts. Type yangu though.

















