Goodluck Mindset (@GoodluckMind27) header
Goodluck Mindset (@GoodluckMind27) profile picture

🚀 Coach Goodluck | Goodluck Mindset 💡 I help you change mindset & build income 📈 Network Marketing | Business Growth 📩 DM “START” to begin your journey

Tanzania
Joined March 2022
Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)Photo by Goodluck Mindset (@GoodluckMind27)
Kama una uelewa wa kwamba MUNGU humletea RIZIKI kila binadamu kwa wakati wake, basi huwezi kumwonea WIVU na KUMCHUKIA mtu yoyote kwa mafanikio yake.
6
23
1
187
5,008
Kuwa mtu mzima ni kugundua kwamba wakati mwingine hutafuti pesa nyingi ili kununua vitu. Unachotaka ni kuwa na pesa za kutosha kiasi kwamba uweze kuishi kwa amani bila kuhangaika kufikiria kuhusu pesa kila wakati.
2
10
197
Kama mwanaume: Fanya unachotaka, wakati unaotaka, bila kuruhusu hisia za watu wengine kuamua maisha yako. Kila unapowasikiliza na kufuata wanachotaka, maisha yako yanazidi kuwa magumu. Na kila unapopuuza na kufanya maamuzi yako mwenyewe, maisha yako yanazidi kuwa bora.
1
16
371
Kila mtu, hata wazazi wako, Wanakuheshimu zaidi pale ambapo hawakuoni mara kwa mara.
2
7
117
Wanawake, Wanaume si watu wagumu kuwaelewa. Mpe mwanaume upendo, heshima, ukaribu wa kimapenzi na umjali hata kwa mambo madogo, naye mara nyingi atafanya zaidi ya unavyotarajia kwa ajili yako.
6
12
217
Goodluck Mindset retweeted
Mwanaume Unajua kabisa, HAUJAJIPATA, means upo kwenye process ya kujijenga na kujiboresha.. Usiruhusu mapenzi yachukue nafsi kubwa kwenye maisha yako. Yataiba FOCUS yako. Mapenzi kwako yawe mguu wa kutoka. Nje na hapo utapiga yowe.
6
13
60
1,293
Acha kuwapa watu taarifa za kila hatua unayopiga kimaisha. Unajenga maisha yako, siyo kuwasilisha ripoti ya maendeleo kila baada ya miezi mitatu kwa wanahisa wa kijiji.
2
15
261
Goodluck Mindset retweeted
Mwanaume, kiumbe anayetoa nguvu, akili na Muda mwingi kuwajali wengine ila hakuna anayemjali yeye. Nikushauri mwanaume jijali, jikumbuke maana ukijisahau utakumbukwa siku unapewa heshima za mwisho na wakati wakianza kukosa vitu ulivyokuwa unawafanyia. Maisha ni Leo✊ ~ChrisMauki
7
27
51
990
Goodluck Mindset retweeted
1. Nimeambiwa. 2. Nimesikia. 3. Walisema. 4. Wanasema. Jiepushe na haya mambo ili uishi kwa amani, HUJASHUHUDIA jambo kwa MACHO usitoe ushahidi. HUJASKI kwa MASKIO yako usifungue mdomo kuzungumza! SOMA TENA 👊
15
61
1
139
3,566
Bro to Bro Always jiandae na hivi vitu, vikitokea visikuumize kichwa kabisa!! Matusi makubwa ya mbongo akitaka kumtukana mtu alioko ughaibuni. - Nenda kachambishe wazee huko😁 -Naskia umeolewa na wazungu huko ulaya😁 -Endelea kujiuza huko ulaya kwa vibabu. -Shoga wewe umekuwa muosha vyombo ulaya/Mfagia barabara. Matusi makubwa ya mwanamke anapoachana na mpenzi wake -Nilikuwa nakustiri tu, mtu mwenyewe husimamishi😁 -Mwanaume mchafu, nilikuwa nakuvumilia tu!
19
30
1
519
40,376
Goodluck Mindset retweeted
Ni bhasi tu, lakini hakuna watu wanaenjoy maisha kama watu wasio na malengo😂🙌...
29
29
198
6,321
Goodluck Mindset retweeted
Usiwahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke unayempenda tu. Tafuta mwanamke anayekutaka na anayekuchagua. Atakutendea vizuri zaidi kama mwanaume. Mwanangu, jifunze kuvutia, usiwe mtu wa kufuatilia na kulazimisha mapenzi.
3
31
616
Goodluck Mindset retweeted
Ukiwa kwenye miaka ya 20, utakuja kugundua kuwa kumpoteza mtu uliyedhani ungekuja kumuoa au kuolewa naye, kumbe ndiyo ilikuwa njia ya kuokoka kwenye maisha.
1
7
169
Goodluck Mindset retweeted
Kumbuka kwamba Mary Jane hakuwahi kumtaka Peter Parker, alichokuwa anakitaka ni Spider-Man, mpaka alipogundua kuwa Peter Parker ndiye Spider-Man. Wanawake wengi huvutiwa na mafanikio na maisha unayoishi, si lazima wawe wanavutiwa na mwanaume anayeyatafuta mafanikio hayo.
2
1
51
Goodluck Mindset retweeted
Ghafla unagundua kuwa yule mwanaume aliyezoea kutoka asubuhi na mapema na kurudi nyumbani usiku akiwa amechoka si baba yako tena, bali ni wewe mwenyewe.
3
13
189
Goodluck Mindset retweeted
Kuwa mbahiri na pesa zako, ndipo utakapogundua kuwa mama yako ndiye mwanamke pekee anayekupenda bila masharti.
3
7
161
Goodluck Mindset retweeted
Wakati Mungu akiamua zamu yako imefika, hakuna mtu anayeweza kukuzuia. Hata kikapu kinaweza kukuhifadhia maji! Magumu yako yataisha, baraka zako zitajieleza zenyewe, na siku yako ya kung’ara itafika. Endelea tu kumwamini Mungu.
1
3
102
Wakati Mungu akiamua zamu yako imefika, hakuna mtu anayeweza kukuzuia. Hata kikapu kinaweza kukuhifadhia maji! Magumu yako yataisha, baraka zako zitajieleza zenyewe, na siku yako ya kung’ara itafika. Endelea tu kumwamini Mungu.
1
3
102
Kuwa mbahiri na pesa zako, ndipo utakapogundua kuwa mama yako ndiye mwanamke pekee anayekupenda bila masharti.
3
7
161