Pinned Tweet
Sheli zimeanza kufungwa.
Vyakula vimenunuliwa sana.
Maji hamna.
Mtandao umeanza kusumbua.
KESHO UNABAKI NDANI KUFANYA NINI.
TOKA NJE, SIRI NI NAMBA.
Serikali haramu inaiambia Uingereza:
βHeshimuni uhuru wa Mahakama zetu.β
Uhuru wa Mahakama?? π
Mtu anashtakiwa kwa UGAIDI kwa kipeperushi cha Katiba Mpya.
Sisi tulio ndani ya hii nchi ndo tunaoujua huo βuhuruβ.
Wageni mnaonyeshwa makaratasi tu.
#Hatutasahau
Lissu ameonekana SI MHAINI.
Lakini Segerea, kwa mujibu wa wakili @ShundoGaston, bado kuna viongozi na wanachama wa CHADEMA wanaoshtakiwa kwa uhaini na UGAIDI.
Mmoja kosa lake? Kuwa na Kipeperushi cha KATIBA MPYA.
Karatasi ni sawa na ugaidi??
Embu waachieni.
#Hatutasahau
Hercules 623/2026 π°πͺ retweeted
Mfungwa namba 623/2026
Tarehe ya kufungwa 06/11/2026
Tarehe ya Kutoka bila kupunguziwa robo ya kifungo ambayo inapunguzwa kwa mfungwa ambaye hajatenda kosa akiwa gerezani ni Tarehe 05/11/2030
Tarehe ya Kutoka ukitoa robo ni Tarehe 05/07/2029;
Mapambano yaendelee!!
Hercules 623/2026 π°πͺ retweeted
Mfungwa namba 623/2026
Tarehe ya kufungwa 06/11/2026
Tarehe ya Kutoka bila kupunguziwa robo ya kifungo ambayo inapunguzwa kwa mfungwa ambaye hajatenda kosa akiwa gerezani ni Tarehe 05/11/2030
Tarehe ya Kutoka ukitoa robo ni Tarehe 05/07/2029;
Mapambano yaendelee!!
Lissu kutoka gerezani anasema: βMimi nitatoka, na nikitoka ni kazi. Msiogope.β
Yeye yuko gerezani, hajalegea. Sisi huku nje tuna kisingizio gani??
Amnesty wamesema ni dhuluma. Hata Gambo wa CCM amekiri familia hii ina misimamo.
TUSIJILEGEZE!!!
#Hatutasahau #FreeLissu
Comments za hii post!ππΎ
..... Wasifu wa Mzee Alute, uliosomwa kwa saa nzima, ulikuwa ushuhuda wa legacy ya kipekee, uzalendo usiotetereka na utu wa hali ya juu.
Akiwa gerezani, Mh. Tundu Antipas Lissu ameandika kwa ujasiri na uzito wa kihistoria, akithibitisha kuwa mawazo, dhamira na upendo wa kweli haviwezi kufungwa na kuta za gereza.
Heshima kubwa kwa ujasiri huo. Ni farewell iliyobeba heshima, upendo na historia.
Rest in power, Tata. Until Valhalla.
Tunamuaga Mzee Alute Mughwai Lissu.
Wakili. Mtetezi wa haki. Ndugu wa Tundu.
Na Tundu mwenyewe yuko gerezani kwa sababu ya MANENO.
Hii ndiyo Tanzania ya "maridhiano"??
Pumzika kwa amani Mzee Alute ππΎ
#Hatutasahau
Lissu did so for 30+ years. Ni mfu?
Kihongosi anasema CCM βimeumizwaβ na hukumu ya Lissu.
Mmeumizwa??
Polisi ni wenu. Waendesha mashtaka ni wenu. Halafu mnalia msibani kama wafiwa π
Mna matani sana CCM.
Make it make sense.
#Hatutasahau
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri anasema Mahakama "imetenda haki" kumfunga Lissu miaka 4 kwa uchochezi.
Mhariri. Anayetetea mtu kufungwa kwa MANENO.
Kesho mwandishi akifungwa kwa kuandika ukweli, atasema nini??
Where are your journalistic priorities, Balile?
Leo nilikuwa na huzuni sana, ila baada ya kusoma COMMENTS moyo wangu umepata furaha kubwa mno!
Kumbuka hii ni sampuli ya comments walau 30, kwenye 2000+, na 97.23% tunaongea lugha moja.
WATANGANYIKA bado kidogo, ukombozi unakuja.ππΎ
Itβs Saturday lakini it doesnβt even feel like one. Nimechoka sana tangu jana, nina huzuni kubwa moyoni.
But nimekumbuka, the harder the struggle the more glorious the triumph!
2
23
648
Jonathan unataka kuanza kutulaumu na sisi sasa??
Mwenyekit Tundu Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi ambalo, kwa mtazamo wangu, ni la kutengenezwa. Safari sasa ni kwenda Mahakama ya Rufaa, lakini tusisahau kwamba hata Mahakama ya Rufaa haiwezi kuwa mbadala wa dhamiri ya umma katika kutetea haki na kupinga matumizi mabaya ya mifumo ya dola.
Mahakama ya rufaa ya Lissu haipaswi kuwa Mahakama ya Rufaa pekee. Inapaswa kuwa umma wote tunaohofia kwamba kesi hizi zinatumika kama njia ya kuwanyamazisha na kuwadhibiti wanasiasa wakosoaji.
Hatari kubwa zaidi si kifungo cha Lissu pekee. Ni uwezekano wa kifungo kutengeneza mazoea hatimaye kuwa sehemu ya mfumo wa kawaida wa kudhibiti upinzani. Hapo ndipo tunapopaswa kuwa na wasiwasi.
Leo hukumu imetolewa, lakini nchi inaendelea na shughuli zake kana kwamba hakuna jambo kubwa lililotokea. Kana kwamba ni mtu mwingine wa kawaida tu aliyefungwa. Hii ni ishara inayopaswa kutufanya tutafakari kwa kina kuhusu hali ya dhamiri ya jamii yetu.
Watu wengi, wakiwemo wanachama wetu, tayari wako mahabusu. Tusipojiuliza kwa pamoja tunakoelekea, tunaweza kuamka siku moja na kukuta magereza yamekuwa sehemu ya kawaida ya maisha ya kisiasa ya nchi yetu.
Uonevu hauzuiliwi na nguvu ya waliouonewa pekee, bali pia na dhamiri ya jamii inayokataa kuuzoea.
Kukaa kimya mbele ya jambo linalogusa haki za msingi za binadamu kunaweza kuifanya jamii izoeane na hali ambayo kesho inaweza kumkuta yeyote kati yetu.
1
9
665

















