Steph (@IheboJr) header
Steph (@IheboJr) profile picture

Sharing things i'm learning through life and other interests

Afrika
Joined May 2023
Photo by Steph (@IheboJr)Photo by Steph (@IheboJr)Photo by Steph (@IheboJr)Photo by Steph (@IheboJr)Photo by Steph (@IheboJr)Photo by Steph (@IheboJr)Photo by Steph (@IheboJr)Photo by Steph (@IheboJr)Photo by Steph (@IheboJr)Photo by Steph (@IheboJr)
Steph retweeted
Kuna watu hawana maisha makubwa kwa sababu majukumu nyuma yao ni makubwa zaidi
2
3
78
Steph retweeted
Kitakacho badili maisha yako sio ndoto kubwa uliyo nayo bali ni vitendo vidogo vidogo unavyo vifanya kila siku
1
2
100
Steph retweeted
Kwenye maisha huwezi tatua kila tatizo, matatizo mengine utatuzi wake nikuyavumilia tu... yatapita na muda
2
4
134
Steph retweeted
Ukimaliza kupanga mipango ya maisha yako... iweke kwenye maombi kwasababu mpangaji mkuu sio wewe
1
5
106
Steph retweeted
Maisha yanatosha kutupa tabu sisi binadamu tupeane upendo
1
2
76

Sio kila mafanikio nizao la akili, juhudi na kujituma na sio kila umasikini ni zao la uvivu na ujinga... wakati mwingine maisha pia ni kitendawili
2
3
23
450
Sio kila mafanikio nizao la akili, juhudi na kujituma na sio kila umasikini ni zao la uvivu na ujinga... wakati mwingine maisha pia ni kitendawili
2
3
23
450
Kinacho tuuma ni kuwa mnajua mmetuzidi kila kitu. Ila kwa nini amtaki na sisi tupate
5
18
1
109
1,555
Nadhani wanaume wengi ni wahanga wa Sexual & Emotional Violence; Leo nimekaa sehemu, ghafla simu ya mchizi ikapigwa, kucheki ni demu wake. Swali la kwanza mwanetu kuulizwa ilikuwa ni UMEPOKEA MSHAHARA NIJE NIKUSALIMIE? Jamaa hakujibu ila Daah! fear women, mwanetu hadi huruma💔🥲
5
20
42
2,098
Weka maisha yako kuwa ya faragha maana kadiri watu wanavyojua mengi kukuhusu ndivyo watakavyopata makosa zaidi. Kadiri unavyojitahidi kuwafurahisha ndivyo watakavyokuhukumu zaidi bila kujali unafanya nini… Wasichokijua hawawezi kukiharibu kua msiri ni moja ya hatua za ushindi. Faragha ni Amani.
1
18
38
986
Mmeamkaje? Sufuria za Pakistani, nzitooo mno📌 Tsh 90,000 0755693113 📍 Riverside karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma 💯
6
54
62
910
Ukienda ugenini unatakiwa kukaa masaa mangapi ndiyo uanze kuwasaidia wenyeji kazi.?
11
17
1
45
979
Acha niende tu Misa ya kwanza najua siwezi toka mikono mitupu, naandika namba zangu kwenye vipeperushi kila demu ninayemuona ni mkali wakati wa kupeana mkono wa Amani namgeia namba, nikiwapa mademu kumi namba yangu najua lazima hata sita au watano watanicheki. Vijana tukasali🙏
15
30
72
2,214
Mwanaume ambae hata fanya mapenzi siku ya leo aje atuombee tuanze siku Salama
30
38
2
93
2,138
Steph retweeted
Mtumikie Mungu wako siku zote za ujana wako, Twendeni Ibadani.❤️✝️
6
22
57
780