
I Help Biz Owners Turn Confusing Designs into Clear, Powerful Visuals that Attract & Sell • #muuzachai💰
Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2011
- Tweets20.5K
- Following368
- Followers2K
- Likes6.3K
Pinned Tweet
safari ilianza na $40 tu, kukesha sana
haka ni ka achivement kangu vere spesho....
Uspesho wake; namna imefika hii, by having a laptop and a skill
this is very special for me!
I hope it opens more doors to $100+ $500+ inshallah
wapi top-rated plus 🔭
let me drop it here 🤑
Speed ya Airtel kama kushuka basi wao wameporomosha
Hapa siongelei wanaoscroll reels... Imagine upo lobby na ping 200MS 😅
Uko zako kwenye lobby mara pap mtandao unasoma ping 200...
Operator ana stuck
kufumba kufumbua upo gulag 😅
Hii mitandao ya bongo jau sana
Siku hizi kazi laini sana... sihangaiki...
kama nina idea ya picha fulani na shoot kisha naambia AI iedit ikitoa naingiza photoshop kufix vichache then boom kazi kwisha
Sio picha, Sio videos
Japo AI is going rogue imeanza kukiuka instructions..tuna miaka 10 kuifurahia
Decision fatigue is real...
Kila wakati nikiingia Netflix kucheki muvi y a kuangalia najikuta na stuck ..
Niangalie ipi... nikifeli easy option yangu ni kwenda na familiar movies za zamani
Hivi hivi ndio tunapo wa confuse wateja kwa kuwapa options nyingi
#CoD is so addictive, nilianza Cold War kama trial
...najikuta niko black Ops 6
Good storyline kama muvi... halafu main character ni wewe mwenyewe 🔥
Namna hili game lilivokuwa tamu... nimeamua tu kuchoma dola 13 na kulinunua kwenye ofa,
Hili ni game la pili na nunua kwenye steam...
It worth it


















