But why馃 (@JTykun) header
But why馃 (@JTykun) profile picture

life is good

Joined June 2021
Photo by But why馃 (@JTykun)Photo by But why馃 (@JTykun)Photo by But why馃 (@JTykun)Photo by But why馃 (@JTykun)Photo by But why馃 (@JTykun)Photo by But why馃 (@JTykun)Photo by But why馃 (@JTykun)Photo by But why馃 (@JTykun)Photo by But why馃 (@JTykun)Photo by But why馃 (@JTykun)
... Ati nlijam nikasample manzi yako 馃槀馃槀
2
83
Sieet! Yaani hata kanaamua kutoka kaote jua walai... 馃檧馃槱 hamna huruma daughters of Jezebel?
1
98
"Scenes za kesho zinatoka wapi sai? 馃槱馃槱馃槄
2
5
148
... Hasara zingine nizakujitakia bana, sasa bahati mbaya ng'ombe za Trukana zipitie hapa mtaanza kusema alikuliwa na ng'ombe 馃槱馃槱
5
140
Mchezo zingine achieni wakisii bana 馃槀馃槀
1
3
158
.... Broh! hamskii kwa hao watu wawili wanaenda heaven huku kanairo nlionyeshwa ni mimi na mamayangu pekee!?
2
86
Siet!...nmetembea kwa mall nikaona networth yangu yote imeandikwa kwa Braa... 馃槱馃槱馃槩
3
135
Yoh! Yooh!... all along nlikua nadhani Musa alipata ten commandments Nai!?... Kumbe... Si nAi???, aah! Aah!
5
Unakumbuka nikikusalimia "mambo ukanijibu Mbotela!??? "
2
Wotiafae... Wotiafae... Wotiafae do... 馃幎馃幎馃幍
2
Bro ameambiwa What's App iko inahung just like his galfriends tirries 馃槙馃槱馃槱
1
Nimeuliza dame yangu mbona ananukia jasho na ametoka kuoga 10min ago, akaniambia hata samaki hunuka na inaishi ndani ya maji 馃槱馃槹馃槹馃槱
2
1
10
... Shawrry ananniringia na chali yake anatumia bulb moja kumulika sitting,.. bed room, kitchen na choo 馃槀馃槀 馃檮
1
4
19
Support my business wakuu... Uchumi ni mbaya bana 馃槳馃槱
1
4
I left home to change Home ameokotwa kwa mtaro sai akiwa maji mbaya 馃槀
1
9
Bf, ;Babe umepark hiyo gari vizuri? Gf: baabe? Nkwambie kitu na ucijam? Bf:fuck!,,,? iko wapi?馃槫馃槫 Gf:hapo inje 馃槳馃槬
7
... Maboiz hamskii kesho kBC ndio itaapisha presdent...
1
Dere wa senke:.. Bro unajua kipchoge alikua anafanya kazi gani? Me: sindio si alikua anakimbia... Why? Dere wa senke :coz plug imekataa kuchoma mafuta..
4
If Many of you will see heaven but wouldn't enter was a person 馃槱馃槱馃挃馃槀
2
1
11
Fresher akiona 2ndyr ametapika mbegu ya ovakado nusu na mkia ya panya..
3