Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga) header
Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga) profile picture

Mwandishi/Mshairi/Mhariri๐Ÿ“š๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ† Simu:+255762845394 Email:[email protected] #SomaUsomwe

Dar es salaam
Joined January 2012
Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)Photo by Dotto Rangimoto (@JiniKinyonga)
Profesa Assad anavyomtazama, KC Mstaafu, @zittokabwe. ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #TaifaLaWote #MaslahiYaWote โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
4
9
23
4,092
Dotto Rangimoto retweeted
๐Ÿ“Mbarali Mbeya "Sisi ACT Wazalendo hatukubaliani na uporaji wa ardhi ya wananchi. Tunakataa uonevu wanaofanyiwa vijiji 33 vya Mbarali. Tunataka Rais Samia awarudishie wananchi hawa ardhi yao." Kiongozi wa @ACTwazalendo @dorothysemu #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
7
9
277
Dotto Rangimoto retweeted
For 60 years, the US and Israel have played coy, with neither acknowledging the development of Israel's nuclear arsenal. It has helped the US maintain a public stance against additional countries developing nuclear weapons and helped Israel avoid questions about how (or whether) it got the bomb. But that stasis may be shifting as other countries in the region advance their nuclear programs. cnn.it/489Sqvg
194
794
52
2,159
243,861
Dotto Rangimoto retweeted
Jana Novemba 6, 2026 KC @SemuDorothy amefanya kikao cha ndani na viongozi wa @ACTwazalendo Kata ya Heru Juu, Jimbo la Kasulu Mjini. Leo Novemba 7, KC atafanya mikutano kwenye kata ya Murungu na Biturana za Jimbo la Muhambwe, Kigoma. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
6
7
282
"Rais Samia amewanunulia mabalozi wote wa nyumba 10 baiskeli na kila baiskeli inagharimu Sh 150,000 wakati wananchi wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya. Kwa nini fedha hizo zisingetumika kuboresha huduma za afya kwa wananchi." Mwenyekiti wa @ngomeyawanawake @rittejaneth
3
3
120
Dotto Rangimoto retweeted
"Rais Samia amewanunulia mabalozi wote wa nyumba 10 baiskeli na kila baiskeli inagharimu Sh 150,000 wakati wananchi wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya. Kwa nini fedha hizo zisingetumika kuboresha huduma za afya kwa wananchi." Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake @JaneRithe
1
8
1
17
1,023
Huko Kidahwe Kigoma ukitaka kufanya sherehe yoyote, mathalani harusi, lazima utozwe elfu 20. Viongozi wa @ACTwazalendo wakiongozwa na KC @SemuDorothy wamekemea utitiri wa tozo tena zingine wanazojipangia tu watendaji wa kata. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
3
5
942
Dotto Rangimoto retweeted
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara, Ndug @MchinjitaIR na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo, Ndug Luhaga Mpina umesamishwa Stendi ya Mabasi Bukoba wakati ukielekea Bukoba Vijijini. ๐Ÿ‘‰๐ŸฟViongozi wamesema wamachinga wana haki kufanya shughuli zao katika miji bila kusumbuliwa.
11
20
24
886
Dotto Rangimoto retweeted
Huko Kidahwe Kigoma ukitaka kufanya sherehe yoyote, mathalani harusi, lazima utozwe elfu 20. Viongozi wa @ACTwazalendo wakiongozwa na KC @SemuDorothy wamekemea utitiri wa tozo tena zingine wanazojipangia tu watendaji wa kata. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
6
8
700
Dotto Rangimoto retweeted
"Viongozi wa Serikali wamekuwa madalali kwa wakulima wa kila zao. Wameua bei ya korosho, bei ya pamba. Mwanzo wakulima walikuwa wanauza mbaazi kilo Sh 3000 ila wakazishusha mpaka sasa Sh 100 na baadhi 300" M/Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
10
28
29
1,042
Dotto Rangimoto retweeted
Vile wananchi wakisikiliza viongozi wetu wa @ACTwazalendo huko mikoani. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
14
22
27
2,762
Dotto Rangimoto retweeted
"Bei ya mafuta inaendelea kuruka kila siku, na hatuoni Serikali ikichukua hatua yoyote madhubuti ya kuhakikisha bei hii inashuka. Watu wachache ndio wanaonufaika kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
2
3
33
"Lissu aachiwe huru. Kesi yake ya kisiasa; na suluhisho lake la kisiasa." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy ๐Ÿ‘‰๐ŸฟLeo Novemba 5, KC atafanya mikutano kwenye kata ya Muzye, Kasulu Vijijini na Kata Kazuramimba, Kigoma Kusini. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
11
11
3,047
Dotto Rangimoto retweeted
Ukianza kuona ccm wanakusifia jua kumekucha
1
5
13
362
Dotto Rangimoto retweeted
"Bei ya mafuta inaendelea kuruka kila siku, na hatuoni Serikali ikichukua hatua yoyote madhubuti ya kuhakikisha bei hii inashuka. Watu wachache ndio wanaonufaika kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
11
20
28
1,864
Dotto Rangimoto retweeted
Msafara wa Makamu Mwenyekiti bara ndugu @MchinjitaIR na Naibu Waziri Mkuu kivuli ndugu Luhaga Mpina ulio kua una elekea Bukoba Vijijini umesimamishwa na mamia ya wamachinga wa stand ya Bukoba mjini wakilalamikia kuondolewa kiholela. @ACTwazalendo
1
11
24
1,062
Dotto Rangimoto retweeted
Jana Novemba 4, 2026 KC @SemuDorothy amefanya mkutano wa hadhara kwenye kata ya Nyarubanda, Jimbo la Kigoma Kaskazini. Leo Novemba 5, KC atafanya mikutano kwenye kata ya Muzye, Kasulu Vijijini na Kata Kazuramimba, Kigoma Kusini. #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
14
23
27
803
Dotto Rangimoto retweeted
Jana Novemba 4, 2026 KC @SemuDorothy amefanya mkutano wa hadhara kwenye kata ya Nyarubanda, Jimbo la Kigoma Kaskazini. Leo Novemba 5, KC @ACTwazalendo atafanya mikutano kwenye kata ya Muzye, Kasulu Vijijini na Kata Kazuramimba, Kigoma Kusini. #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
7
10
74
Jana Novemba 4, 2026 KC @SemuDorothy amefanya mkutano wa hadhara kwenye kata ya Nyarubanda, Jimbo la Kigoma Kaskazini. Leo Novemba 5, KC atafanya mikutano kwenye kata ya Muzye, Kasulu Vijijini na Kata Kazuramimba, Kigoma Kusini. #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
1
1
4
136
Dotto Rangimoto retweeted
Kiongozi Mstaafu wa @ACTwazalendo, Ndugu @zittokabwe ameshiriki mazishi Alhaji Rajab Thabit Kaila. Marehemu alikuwa baba mzazi wa Mjumbe wa Kamati ya Chama, Ndugu Karama Kaila. Sote wa Mwenyezi Mungu, na kwake ndio marejeo yetu.
10
14
526