#Μβεʏαβσʏ (@Kunde0) header
#Μβεʏαβσʏ (@Kunde0) profile picture

truck driver by pro||Alistair Team|| @simbasctanzania @yangasc1935 ||The surest way to be happy is to seek happiness for others. thankz lord 🙏.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2017
Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)Photo by #Μβεʏαβσʏ (@Kunde0)
Kuna siku nikikua natoka nakonde naelekea DRC. kuna dada mmoja hivi alikua dereva wa kampuni na ASAS aliniletea fujo nyingi sana kisa tu ana gari inauwezo kuliko mpilipili wangu bas mimi nikawa nimepuuza safari ikaendelea mida ya mchana hivi tunakalibia sehem moja hivi inaitwa Mpika gari yake imezingua na hakuna mtu wa kumsaidia namimi ndio nilikua nyuma yake nikaona wacha tu nisimame maana panaweza kua na hatari pale mazingira hayakua rafiki hasa kwa mwanamke nilivyofika pale nikamuuliza gari yako inashida gani kasema anashangaa tu gari imezima ghafla nikajaribu kuutumia ule ufundi wangu kwenye XT mungu akasaidia ikawaka na akaendelea na safari lakin kabla ya kuondoka nikamkumbusha ya kua mimi ndio yule umenifanyia ubaya Asubuhi tuendelee na safari sasa👊yule dada kila tukikutana siku hizi ananisalimia sana imefikia hatua hadi ananitaka yaan anataka uvulana wangu😂huku mwishoni niuongo
46
25
4
454
59,111
#Μβεʏαβσʏ retweeted
I will drink cappuccino ☕️ with my trainer @DorothNengai
Money 💰 if I catch you 🙌😔
2
5
15
422
#Μβεʏαβσʏ retweeted
watu hujiita SIMBA, CHUI, CHATU, TAI mtu kujivisha majina ya wanyama kwa kawaida humaanisha kuchukua sifa, tabia, au nguvu za mnyama huyo na kuzihusisha na maisha yake. leo kuna mtu nimekutana naye anajiita NYEGERE, nilipatwa na butwaa🤔 je nyegere ni mnyama gani Uzi 👇
3
7
14
825
#Μβεʏαβσʏ retweeted
40-45 80,000 +255 694201676
2
2
109
Nitakuja kupiga mtu sana aisee
Hii ujinga msichana unalewa unaanza kutuma I love you messages Kwa mtu unajua vizuri ako na girlfriend ni ufala, my gal amepack nguo hii asubuhi yote juu ya notification ya ufala. mimi utanipea dem wangu
1
3
60
Jitathimi😂 Don't skip low qwality video😂😂 @Ibrah_Sheby
58
#Μβεʏαβσʏ retweeted
Nimepata mpenzi kibonge na ni mrefu nami ndo vitu vyangu hivyo kwaheri bajabir baki na magari yako tu kukaa bila kucheat ni ngumu😝😂😂😂
9
8
1
40
1,114
Wolaa chuma kimefika uyolee kaka wanakisifiaa sana Kuna wadada wanataka waweke vitu hawa
Main boyfriend mali iko njiani inakuja 🔥🔥🔥😁
4
3
3
204
#Μβεʏαβσʏ retweeted
Main boyfriend mali iko njiani inakuja 🔥🔥🔥😁
Replying to @BillyTronix1
@BillyTronix1 Kama haka bei za masikini ulisema ngapi?
4
3
1
18
1,179
#Μβεʏαβσʏ retweeted
Usiniambie mm nifanye kazi wewe Watu tunapambana lakini hatufanikiwi Wewe unaamini mtu awe mwalimu alafu amiliki kampuni na ina magari? @BajabirLogistic haitakiwi kuendelea Tutakuja kuwatoa kafara ili mjue tunapambana Nionyeshee kiganja chakoo nione kama ni mali
Fanya kazi kijana 🤣🤣
4
8
1
14
1,741
Namna uchawi unavyofanya kazi😂😂 kipepe nimmbwa kabisa
Limekua pigo kubwa sana kuona adui yangu anafanikiwa @BajabirLogistic 😭😭 Kwanza kampuni hii ya usafirishaji nasikia jamaa lake jina tu
1
1
2
107
Wakuuu kwamara nyingine tena nahitaji msaada wa line za Uwakala kama kunae mtu anaeza kunisaidia bas itakuaa heri🙏
15
15
1
39
1,230
Bora wewe tu yakwangu siku moja kaaa na Ibrah akusimuliee ningekua wa mweupe ningeliaa sana😂😂
Nliyoyapitia huu mwaka ningekuwa nimezaliwa Japan au Korea ningeshajiua kitambo sana 😂😂
3
1
3
125
#Μβεʏαβσʏ retweeted
Good morning Hotpot za kishua hizi🔥 3pcs Tsh 65,000 badala ya 70,000 0755693113 📍 Riverside, delivery nchi nzima
3
41
1
37
546
#Μβεʏαβσʏ retweeted
Jua ni kali wakuu naomba oda sasaa Kabati la nguo milango miwili 300,000 📍 Tunapatikana Ubungo Msewe. 🚚DELIVERY IPOOO! 📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946 KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
6
27
1
36
1,349
Mahali milion kumi nyie mabwege ndio mnafanya watu wasioee kabisa😂😂😂
2
2
5
173
Jitathimini balance mambo
1
2
204
MEGAPARI No tax ✔️ Upto 200% welcome bonus🔝 Covers all sports ⚽️⚾️🏀🎾 Megapari registration >>mgpi.vip/szPsw6Y6 Megapari App >>refpaiozdg.top/L?tag=d_28752…… Promo code >>KENNEMEGAPARI
6
10
193
We Like Tu 🥶🥶🔥 2023 Polo 2 2026 Polo 31 Dar Mwanza Huwezi Toboa Na Polo Mbili. Alisikika Mnazi Mlevi Wa Allys Star.
8
16
1
226
3,445
Hapa kwenye hili wachina wananguvu ni swala la muda 2
2
24
2,744
#Μβεʏαβσʏ retweeted
Back in stock 🔥 TCL Inch 55 smart 4K 55V6 Tsh 1,150,000/= 0717 274 856
1
19
20
410