ali muli (@MDenitrio) profile picture
Joined October 2025
ali muli retweeted
Jana around 1am kuna maboy wawili wali request bolt from Huruma to Kitengela na uko ndani, so on the way wakaanza kuniuliza kama gari ni yangu ama ni ya loan, kama iko na tracker nini nini.... hapa roho ikaniambia niwachane na hii request hawa sio watu wazuri, mind you trip ilikua inawaletea 1600 juu ni mbali walikua willing kunilipa 2500. Nilifika Syokimau nikawaambia tuingie kwa petrol station tuongeze mafuta ndio tuendelee, vile niliingia tu hapa niliwaambia wachukue gari ingine uko mimi siendi. They had to cancel that trip wakaitisha ingine. Nilifungia job hapo hapo.
119
276
7
3,625
323,784