MADEREVA BAJAJI WAONGOZA NJIA
Leo Mbeya hakuna usafiri DALADALA itakayo INGIA barabarani inavunjwa vioo na Madereva Bajaji
, hii imetokea Baada ya Mkuu wa mkoa kusema bajaji zisiingie barabara kuu.
Changamoto ya Mbeya sio Bajaji ni Serikali haramu inatakiwa itanue barabara.
GEN.Z WANAFURAHIA KUDAI HAKI
Leo Mbeya hakuna usafiri DALADALA itakayo INGIA barabarani inavunjwa vioo na Madereva Bajaji
, hii imetokea Baada ya Mkuu wa mkoa kusema bajaji zisiingie barabara kuu.
Changamoto ya Mbeya sio Bajaji ni Serikali haramu inatakiwa itanue barabara.
MO 29 TV retweeted
Ukombozi uko Instagram na Tiktok, nguvu kubwa zipelekwe kwenye hizo platform mbili.
Huku X ni sehemu ya ku communicate na International community only.
Kama wewe unadai haki na unaandika huku X tu au kama unaandika X zaidi ya hizo platform nilizotaja hapo juu basi jua huna msaada wa maana unao contribute kwenye movement.
Ni lazma wote ambao mnaweza mpeleke nguvu kubwa instagram, facebook na Tiktok. Ni bora huku X upost hata just once a week ila kila siku uposti kule Instagram na Tiktok.
Huku X tupafanye ni sehemu ya kuposti kama by the way tu ila nguvu iende kule ambapo wananchi wapo.
Mambo ya wasomi na strategists kujisanya huku X yaishe, kajichanganyeni na wananchi, wale ndio kila kitu……….

