Hakikisha chuki zako juu ya baba yako chanzo kisiwe maneno ya kuambiwa kutoka kwa mama yako.!
#nimetumwa
#kusema
#ukweli
5
Hakikisheni kwenye ujamaa wenu mnaambiana ukweli mmoja wapo anapozingua,
Kuogopa kwamba mtakosana baada ya kumkosoa huo ndo UNAFIKI wenyewe.!
6
Yohana 13:34
Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.
12
Umuhimu wa watu wazuri kwenye maisha ni kama mapigo ya moyo hayaonekani lakini yanasaidia maisha ya mtu kuishi!
#hekimahaiuzwi
12
Things will happen. We can't stop them from happening, but we can control our reactions to keep them from getting worse. React positively and live happily.
#hekimahaiuzwi
17
We come with nothing, we go with nothing, but one great thing we can achieve in our beautiful life is a little remembrance in someone's MIND and a small place in someone's HEART.!
#hekimahaiuzwi
21
Usikubali kuingizwa kwenye
Mkumbo wa kumchukia mtu ambaye
hajakukosea,
Inawezekana wao hawamuhitaji, Ila
wewe kuna siku utamuhitaji.!
#hekimahaiuzwi
16
Dada zangu kama akili yako bado hujaiandaa kumheshimu mumeo na kumtii tafadhali usiingie kwenye ndoa!
17
Jenga Mazoea ya KUSAMEHE na USIMDHARAU MTU YEYOTE awe mkubwa au mdogo. Vidole huwa havilingani lakini kila kimoja kina umuhimu wake.!
#Hekimahaiuzwi
12
Tupigane kwa nguvu zetu wenyewe kwenye njia zetu wenyewe, lakini si kwa kutumia udhaifu wa wengine. Mafanikio ya kweli yanatokana na juhudi zetu wenyewe, sio kwa kushindwa kwa wengine!
9
Standard za kuwa good person
siku hizi ni kutumika kwa manufaa
ya wengine.
Behind your back they will be
saying "Hana noma yule"
12
