
One of the biggest conglomerates in Africa. π 38,000 Employees πΉπΏ Proudly #Tanzanian π Present in 11 African Countries https://teapaw.org/t.co/JVjyK2WWhB
Tanzania
Joined September 2012
- Tweets6.3K
- Following22
- Followers23.1K
- Likes5.3K
Kutoka kwenye kumiliki mpira hadi kushangilia goal!
Hii ndiyo maana halisi ya kupeleka burudani kiwango kingine! π
Swipe uone kilichotokea! π
#MeTLGroup #Simba #MoCola
100
Tuliwauliza wanaume wa MeTL wanatamani nini hasa, na majibu yao yametuchekesha sana! π€£
Heri ya Siku ya Wanaume Duniani! π
#MeTLGroup #InternationalMensDay #MensDay2026
107
Umeiambia ChatGPT iboreshe picha ya vyakula, imeamua kuboresha mpaka hamu yako ya kula! π
Sasa kila sahani inavutia kuliko nyingine. Ukiwa na Yara Pure Sunflower Oil jikoni, tumia ubunifu wako kuandaa mapishi mbalimbali yanayofurahisha familia! ππ
#MeTLGroup #YaraOil
Hii ndiyo tafsiri ambayo kila mwenye njaa angependa kuiona! Ukiwa na Mo Spaghetti jikoni, una nafasi ya kuandaa mlo unaovutia bila kupoteza muda mwingi.
#MeTLGroup #TunagusaMaishaYako #MoSpaghetti
Kutoka kwenye kumiliki mpira hadi kushangilia goal!
Hii ndiyo maana halisi ya kupeleka burudani kiwango kingine! π
Swipe uone kilichotokea! π
#MeTLGroup #Simba #MoTunagusaMaishaYako
2
226
Ukiwa na Mo Spaghetti: πβ€οΈ
Bila Mo Spaghetti: ππ
Ukiwa unatafuta wazo la mlo mtamu, usijipe kazi nyingi. Mo Spaghetti ipo kukuongezea sababu ya kutabasamu!
#MeTLGroup #TunagusaMaishaYako #MoSpaghetti #Tanzania
1
99
Wenye magari, kuanzia leo msiwe mnaacha Mo Cola ndani bila ulinzi! ππ
Maana kuna watu wakiona chupa za Mo Cola, wanasahau kabisa mipaka ya mali ya watu!
Mo Cola ina ladha inayopendwa, lakini tafadhali nunua yako!
#MeTLGroup #MoCola #MoTunagusaMaishaYako
Daktari akiandika, wakati mwingine unahitaji daktari mwingine akutafsirie!
Furahia Ladha ya Mo Bungo Energy ikiwa ya baridi na ongeza msisimko kwenye shughuli zako za siku!
#MeTLGroup #MoBungo #MoTunagusaMaishaYako
Madoa, harufu na uchafu havipaswi kukuvunja moyo. Ukiwa na Mo Protector, una msaada wa kukabiliana na changamoto hizo za siku ya kufua! Mo Protector ipo kukusaidia kushughulikia uchafu na kurudisha usafi kwenye nguo!
#TunagusaMaishaYako #MeTLGroup #Tanzania #MoProtector
Kuhitimu unaweza mara moja, kuoa unaweza mara moja, lakini kuishabikia Simba? Hiyo ni kazi ya maisha yote! ππ¦β€οΈ
Kila mtu ana hatua zake muhimu maishani, lakini kwa shabiki wa Simba,
#MeTLGroup #Tanzania #Simba #MoCola
1
179
Kuna siku mwili unahitaji tu mlo mzuri wa kukurudisha kwenye mood! Ukiwa na MO Spaghetti, tengeneza sahani yako unavyoipenda, ongeza mchuzi wako pendwa na ufurahie ladha inayokufanya utake kijiko kingine tena na tena.
#MeTLGroup #MOSpaghetti #TambiZaMO
88
MO Protector iwe sehemu ya maandalizi yako ya kufua na kutunza usafi wa nguo nyumbani. Chukua pakiti yako kwenye duka lililo karibu nawe na uwe tayari kushughulikia madoa ya kila siku.
#MoProtector #METLGroup
104
Kama unapenda shave safi na nadhifu, hakikisha Dorco ipo kwenye grooming kit yako. Blades zake zimetengenezwa kwa matumizi ya shaving na zinafaa kuwa sehemu ya routine yako. Nunua pack yako leo na uwe tayari kila unapohitaji kujipanga.
#MeTLGroup #DorcoBlades
111
Simba Power Batteries iwe tayari kusaidia vifaa vyako vinavyotumia betri wakati wa game night, movie time au matumizi mengine ya kila siku. Kwa nguvu inayoaminika tumia Mo Simba Power.
#MoSimbaPower #MeTLGroup
If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role.
#MeTLGroup #MakeYourMove #RegisterNow
138
Gawana majukumu, lakini usisahau MO Super Wash! π Ukiwa na Super Wash tayari nyumbani, kila mmoja anaweza kuingia kazini wakati wa usafi. Tafuta mche wako kwenye maduka yaliyo karibu nawe na nunua leo kwa matumizi ya familia nzima.
#MoSuperWash#TunagusaMaishaYako #MeTLGroup
89
Nguo zako zinastahili usafi unaoonekana. Chagua MO Protector Detergent kwa kufua nguo za familia na kushughulikia uchafu wa matumizi ya kila siku. Nunua pakiti yako leo, iweke nyumbani na ufanye siku ya kufua iwe rahisi zaidi.
#TunagusaMaishaYako #MeTLGroup #MoProtector
107
Ukianza kusikia, βjirani, umepika nini leo?β ujue harufu tayari imefanya kazi yake. Andaa mapishi yako ya vitafunwa na unga bora wa MO Safi.
#MeTLGroup #MoSafi #UngaSafi
112
Kama unatafuta ajira ya ufundi stadi, Make your Move itakusaidia kutafuta kwa urahisi.
Fuata hatua hizi rahisi kujiunga nasi, ili kuweza kukuunganisha na muajiri. Itakusaidia kukuongoza kupata ajira.
#MeTLGroup #MYM
162
Kila mapishi mazuri yanaanza na ingredients unazozamini. Chagua Yara Pure Sunflower Oil kwa matumizi yako ya kila siku jikoni, iwe ni kukaanga, kupika au kuandaa vyakula mbalimbali vya familia. Nunua Yara leo na uiweke tayari kwa kila recipe yako.
#MeTLGroup #YaraOil #CookingOil
80

















