Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
You know things are hard when you start calculating whether the journey is really necessary before leaving your house.
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
Najiulizanga wale artist wa gengeton kina ethics,ochungulo family, sailors na kina boondocks,watawai piga comeback watupee greatness walikua wanatupea pale highschool kweli😂
Hii KCSE venye imeanza leo imenikumbusha my highschool babe. The night before sasa turudi 3rd term shule tulikutana hio usiku ndio tupeana munju za mwisho before turudi shule.
Highschool babes were so sweet during those days. True love kweli kweli.
Alikua anaishow ati nisome ndio ati ndio watoto wachukue akili yangu ati juu yeye D is inevitable alafu akaongeza ile mstari ati "If our relationship doesn't make it to the end, then protect what we had together".
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
Wengine wakitoka Sleep over na shopping na Pesa wewe unatoka na Surualii baridi kwa handbag 🚮🤧
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
Jana I hanged out with a friend anaishi na dem yake. After ma drinks akanishow akifika mtaa mamaa lazima ata mnusa njwang'a..I couldn't believe it bana 😂😂
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
KCPE -360
KCSE - B+
COURSE - Stat with IT
Current job - kamare,chalkman
you? – at Mtongwe, Kenya
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
Tunasemanga it has never been easy for a boy child,lakini heri hivo tu nilizaliwa nikiwa mwanaume.
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
Ladies hii ni nini mnashindana kutuambia I need to work on myself si ka hautaki mtu unamuambia direct 😂😂sisi ni watu wakubwa bana.
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
Dem anakutolea nguo after umekuwa ukiomba mechi for six months unapata gaidi haina mwatuka, si angeniambia kitambo maangai
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
Lecturer throwing dangerous words like "we must sit for our first cat before the end of this week"
Pombe nayo ni shetani hio kitu inaezaua mtu, nimekaa hivi nikafikiria kuna day sasa nilikuwa nimetoka locals nikapitia hapo kwa Kimani akanikatia ya Mia mbili by that hazikuwa zimeshika poa, sasa mi nikafika kwa nyumba nikaingia jikoni as a bachelor boy nikaweka nyama iboil nikaenda kurelax mamae zikanasa kama ngotha ya Omanga,nilishtuliwa na makelele ya jirani wakibimoa mlango yangu, moshi ilikuwa imejaa kwa nyumba, nyumba ni nyeusi kama roho ya Ruto, walai kama si majirani ningekuwa choked to death na Moshi juu nilikuwa na kohoa na mwili ilikuwa imenyongonyea, damn fuck alcohol.
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
Kitu inaniambia nimefika miaka ya ku marry,ingine inaniuliza why the hurry
Amostar spark🇰🇪🇯🇲 retweeted
Na vijana hii kitu mnaskia inaitwa mapenzi,hii nataka mkae ngangari nayo. Manake hii kitu mkichesa,mtaadhirika mbaya sana. Hii watu inaitwa wanawake,lazima ujue kusoma meter yao,otherwise utaona kile kalonzo aliona kule satafrika kwa sangoma. Kitu ya kwanza usiwahi uliza mwanamke ‘ama nakusumbua?”, wewe ukiona nikama unamsumbua,jikaze na usitafute yeye,kama hatakutafuta jua hapa mambo ni luwere luwere. Ulikua unamsumbua
Huyo inataka unaGachagua yeye,yani unatwanga yeye block ata asione DP,alafu chukua 150 kwa savings teremka githurai mahali inaitwa Airport,chukua flight,toa hiyo kutu inakusumbua. Kitu ya pili,Mwanamke ukiskia anakulilia tushida twa upus,mara ooh I have seen cute dress,mara ooh theres this phone I’ve seen,ujinga isikuingie udhani wewe ndiye yesu wa kuokoa watu wako na shida. Kama yesu angetaka akue na hiyo kitu,angemtumia pesa yake.
Sasa hapa inatakanga unaambia yeye “thats nice” . Alafu akiona humuulizi kama anataka umnunulie,ataakuuliza kama utamnunulia, mwambie “nitaona”. Just that. Alafu jioni omba yeye mzigo,akikunyima ujue umeponea mtego. Juu ata kama ungenunua iyo mavitu ya ughasia,hungepewa kitu. Chukua 150 ingine teremka githurai,chukua flight,unarudi nyumbani ukiwa sober.
Vijana mimi nataka mjue kuepuka hii mitego,sisi hatukua na watu wa kutupea hizi siri,tumeangamia namna atari sana
















