Pole sana kaka. Ni Mungu tu. Mimi pia mwaka 2019 almost nipotee, stress za Maisha na mambo ya chuo, gari mpaka linafika nyuma yangu sihisi chochote, bahati nzuri kelele za watu pembeni zikafanya niruke mtaroni. Ndiyo ikawa pona Yangu.
Leo asubuhi,
Nilikuwepo Wrong place
At wrong Time...
Waliokuwa Mbele Yangu,
Wamekufa Papo hapo...
Sababu;
Daladala iliyokuwa Nyuma Yetu
Ilifeli Break,
Kiukweli ni Mungu 馃檹馃従
Amenichomoa kwenye hii sehemu.
Kimiujiza,
Mpaka Mda Huu,
Najiuliza Nilichomokaje pale Sielewi!
Nimechubuka Kidogo,
Tu kwenye Mguu..
馃檹馃従
1
43






