OJADACT (@OJADACT2) header
OJADACT (@OJADACT2) profile picture

Non governmental organization that strengthen Journalists capacity in reporting against crimes in Tanzania. Stopping Crime is My Duty, Your Duty and Our Duty

Mwanza, Tanzania
Joined March 2022
Photo by OJADACT (@OJADACT2)Photo by OJADACT (@OJADACT2)Photo by OJADACT (@OJADACT2)Photo by OJADACT (@OJADACT2)Photo by OJADACT (@OJADACT2)Photo by OJADACT (@OJADACT2)Photo by OJADACT (@OJADACT2)Photo by OJADACT (@OJADACT2)Photo by OJADACT (@OJADACT2)Photo by OJADACT (@OJADACT2)
" Nchi 23 kati ya Nchi 48 za Afrika zimepata wastani mbaya au mbaya zaidi kwenye kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari Afrika hali hii inaashiria ulinzi na usalama wa waandishi wa habari sio nzuri Afrika" @EdwinSoko4 OJADACT @tanpol
2
3
55
OJADACT leo imeshiriki kwenye kutoa mada ya uzoefu wa hali ya ulinzi na usalama kwa Nchi nyingine za Afrika; learning and knowledge sharing kwenye mdahalo wa kitaifa kuhusu ulinzi na usalama kwa waandishi wa habari ulioandaliwa na @UTPCtz
1
2
33
Mwenyekiti wa OJADACT @EdwinSoko4 , akiwa na waandishi wa habari wa DRC Fistore Kongobame na Jogo mangongo , Hilton Hotel Kinshasa wakibadilishana mawazo juu ya hali ya usalama wa waandishi wa habari Nchini DRC. @UTPCtz
2
64
Globally, more than 296 million people used drugs in 2021 – a 23% increase over the previous decade. The vulnerable, the poor and the marginalized are most at risk. More facts in our World Drug Report.: bit.ly/DrugReport2023
4
13
3
24
3,120
Washiriki wa warsha ya siku mbili ya kuboresha mahusiano baina ya AZAKI na Vyombo vya habari iliyoandaliwa na @InternewsTz kwa kushirikiana na OJADACT jijini Mwanza wakiwa kwenye kazi za vikundi.
1
14
Agness Kayuni chief party wa @InternewsTz aliongea na waandishi wa habari wa Mkoa wa Mwanza kwenye warsha ya siku mbili baina vyombo vya habari na AZAKI
7
OJADACT inashiriki mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo wanachama wa mtandao wa mashirika ya kutetea uhuru wa kujieleza (CORI) yanayofanyika Mkoani kilimanjaro. @EdwinSoko4 @UTPCtz @mctanzania
1
36
OJADACT yaipongeza Serikali kwa kuimarisha utendaji wa Mamlaka ya kuthibiti na kupambana na dawa za kulevya Nchini(DCEA) inayoshughulika na uthibiti kwenye uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa dawa za kulevya Nchini" pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti Edwin Soko.
21
"Nayapongeza mashirika yasiyo ya kiserikali yanafanya kazi kubwa kwenye kutoa elimu juu ya athari za dawa za kulevya" Rais Samia Suluhu kwenye maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani. @wizara_afyatz @Maelezo1 @AmrefTanzania @
1
1
31
Rais Samia Suluhu amewaangiza wafanyakazi wa Mamlaka ya kuthibiti na kupambana na dawa za kulevya kufanya kazi kwa weledi na kujituma ila wasije ingia kwenye uonevu wa kuwabambikizia watu kesi za dawa za kulevya kwa chuki binafsi.
7
📣 Save the date Global launch of the 2023 #WorldDrugReport! Join as we take a deep dive into the impact of drugs on the environment in the Amazon, key drug trends by region & more! 📅 26 June 🕐 2 - 4 p.m. (CEST) 🔗 bit.ly/3Ch0PNp
28
2
55
6,030
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemkabidhi tuzo Rais Samia Suluhu kwenye maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani yakiyofanyika jijini Arusha. @UNODC @AmrefTanzania @wizara_afyatz @Maelezo1
12
"Jukumu la kupambana na dawa za kulevya linaanzia kwa mzazi na mlezi wa watoto hivyo tubebe majukumu yetu kama wazazi" hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu kwenye maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani yaliyofanyika Jijini Arusha. @wizara_afyatz
12
Karibu Upate Elimu na Taarifa ------------------- Ikiwa ni Siku ya kilele cha maadhimisho ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani yanayofanyika kitaifa mkoani #Arusha. Kauli mbiu: Zingatia Utu, Boresha Huduma za Kinga na Tiba. cc. @DCEATanzania @CdcTanzania @PEPFAR @GlobalFund @wizara_afyatz
6
1
20
673
International Day Against Drug Abuse and Illict Trafficking. #WDD2023 cc @CdcTanzania @PEPFAR @GlobalFund @wizara_afyatz @mohznz1 @DrFlo6
17
2
42
6,464
Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Saluhu anataraji kuwa mgeni rasmi leo kwenye maadhimisho ya kitaifa ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya yanayofanyika leo Jijini Arusha kwenye uwanja wa Abeid Karume. @UNODC @AmrefTanzania
12