Flora Nducha (@Oresia) header
Flora Nducha (@Oresia) profile picture

Chief-Editor UN News Kiswahili

New York
Joined December 2010
Photo by Flora Nducha (@Oresia)Photo by Flora Nducha (@Oresia)Photo by Flora Nducha (@Oresia)Photo by Flora Nducha (@Oresia)Photo by Flora Nducha (@Oresia)Photo by Flora Nducha (@Oresia)Photo by Flora Nducha (@Oresia)Photo by Flora Nducha (@Oresia)Photo by Flora Nducha (@Oresia)Photo by Flora Nducha (@Oresia)
Flora Nducha retweeted
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo @undptz kwa kushirikiana na Serikali ya 🇹🇿 limetoa ruzuku ya $milioni 2, sawa na takriban Tsh bil 5.2, kwa asasi za kijamii na mashirika yasiyo ya kiserikali 49 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. @rashidmalekela anaeleza zaidi⬇️
2
3
95
Flora Nducha retweeted
Ripoti mpya ya @WMO yaonya mwaka 2026 ni miongoni mwa miaka 4 yenye joto kali zaidi, El Niño inaongeza joto na hatari ,Kina cha bahari na joto la bahari vimefikia viwango vya juu zaidi na hali mbaya ya hewa ina gharama kubwa za kiuchumi na kibinadamu news.un.org/sw/story/2026/11…
1
3
119
Flora Nducha retweeted
Nchini #Tanzania Shirika la @UNDP kwa ufadhili wa Mfuko wa Kimataifa wa Mazingira, limetia saini makubaliano kuelekeza dola milioni 2 kwa asasi 49 za kijamii na kiraia ili kusongesha harakati za ulinzi na uhifadhi wa mazingira kuanzia ngazi ya jamii. news.un.org/sw/story/2026/11…
2
5
133
Flora Nducha retweeted
COP31 imengoa nanga leo #Antalya Uturuki huku @UN ikisistiza ni wakati wa hatua na sio maneno matupu. Mada kuu zinazojadiliwa katika mkutano huo ni 📌Ufadhili 📌Nishati safi na 📌Hatua za kuimarisha mnepo dhidi ya athari za tabianchi duniani. news.un.org/sw/story/2026/11…
5
4
133
Flora Nducha retweeted
Chanjo mpya dhidi ya Ebola zafanyiwa majaribio Chanjo mbili mpya za #Ebola zinaanza kufanyiwa majaribio nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo #DRC ili kukabiliana na mlipuko unaoendelea wa aina ya virusi vya Ebola vya Bundibugyo. @WHO @WHOAFRO
5
8
230
Flora Nducha retweeted
Hali ya kibinadamu nchini #Sudan inazidi kuwa tete huku mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (droni) yakilenga miundombinu muhimu ya kiraia, ikiwemo vituo vya nishati na mafuta,  kuvuruga huduma za afya na maji na kuweka hatarini maisha ya maelfu. news.un.org/sw/story/2026/11…
5
3
120
Flora Nducha retweeted
Vijana sita kutoka #Kenya na #Uganda kuwakilisha wakimbizi na kuandika historia katika Olimpiki ya Vijana 2026 inayoanza 31 Oktoba mjini Dakar #Senegal. Ni mara ya kwanza mashindano hayo kufanyika Barani Afrika. @Refugees inasema ni fursa kwa vijana hao news.un.org/sw/story/2026/10…
2
1
5
136
Flora Nducha retweeted
Ndege zisizo na rubani #Drone za gharama nafuu, meli zinazojiendesha zenyewe na mashambulizi ya kimtandao vinabadilisha aina ya vitisho vinavyokabili njia za usafirishaji wa bidhaa baharini duniani, pamoja na zana zinazotumika kukabiliana navyo. news.un.org/sw/story/2026/10…
1
1
75
Flora Nducha retweeted
Shirika la UNHCR, limeonya kuhusu kuongezeka kwa mahitaji ya kibinadamu katika eneo la #Moyale, mpakani mwa #Kenya na #Ethiopia, baada ya mapigano yanayoendelea upande wa Ethiopia kuwalazimisha maelfu ya watu kuvuka mpaka na kuingia Kenya kutafuta usalama. news.un.org/sw/story/2026/10…
4
7
239
Flora Nducha retweeted
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezungumzia juhudi zinazoendelea za kutokomeza ubaguzi wa rangi, kuendeleza usawa wa kijinsia "Umoja wa Mataifa hauwezi kutetea usawa duniani kote kwa njia yenye kuaminika isipokuwa kama tutauzingatia ndani ya mipaka yetu wenyewe"@antonioguterres
3
4
150
🇺🇳🇹🇿 A glimpse of the results we r achieving together with the Government of Tanzania & communities. These r just a few highlights of progress made possible by the vital support of our development partners. #UNTanzania #UN81 – at Dar es Salaam, Tanzania
11
1
16
481
Flora Nducha retweeted
Baraza la Usalama lafanya kikao kuadhimisha miaka 30 tangu Baraza Kuu la UN lilipoanzisha jukumu la kulinda watoto wanaoathiriwa na migogoro ya silaha. Laeleza miaka 30 ya jukumu la ulinzi wa watoto katika migogoro ya silaha, bado wanalipa gharama ya vita news.un.org/sw/story/2026/10…
1
1
89
Flora Nducha retweeted
"Katika Siku ya Umoja wa Mataifa, hatusherehekei tu Shirika, bali pia wazo: Mustakabali wa wanadamu unategemea uwezo wetu wa kushirikiana ili kuendeleza amani, maendeleo na haki za binadamu. Kwa miaka 81, Umoja wa Mataifa umelipa uhai wazo hilo." @antonioguterres #UNDay2026 🇺🇳
9
13
194