Pinned Tweet
Nafikiri tafsiri sahihi ya neno kesho ni LEO. Hivyo basi Ifanye kesho yako kuwa leo kwa kuanza utekelezaji wa mipango uliyojiwekea.
NDIDI retweeted
BREAKING:
ChatGPT CEO Sam Altman says people share personal info with ChatGPT but don’t know chats can be used as court evidence in legal cases.
NDIDI retweeted
Sijawahi kuona parenting imerahisishwa namna hii.
Mtoto apewe maarifa, maadili, mpe ujuzi 👏🏻👏🏻👏🏻
NDIDI retweeted
Lini.?🤣🤣 oya @Otchuman wewe ni shahidi hili nitatekeleza chap chap
It's my #Twitterversary! I have been on Twitter for 12 years, since 15 Dec 2010 (via @twi_age).
NDIDI retweeted
It's a You Tube Premier
A Guy planning to get laid with his crush, find himself in the middle of the gang war turning his day upside down
Jamaa anajaribu kupata mapenzi na msichana anajikuta katika vita na magenge kufanya siku yake kuwa juu Chini.
youtu.be/f5JrLFVsHB0
NDIDI retweeted
Rest In Paradise Coolio #GangsterParadise
NDIDI retweeted
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) pamoja na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali (OCGS) Zanzibar kwa kushirikiana na Ubalozi wa China nchini Tanzania wamekubaliana kuongeza wigo wa ushirikiano katika nyanja mbalimbali za Kitakwimu. – at Dar es Salaam, Tanzania































