Outlook imegoma, lakini hela za chai, lunch na nauli zinatoka bila shida! 😭😂
Wakati tunasubiri email zirudi, tusisahau kurekodi matumizi yetu kwenye PesaPlan. 💙
#PesaPlan #OutlookDown
Tunamkumbuka Mwalimu Julius Nyerere, Baba wa Taifa. 🇹🇿
Tunaenzi maono yake, uongozi wake na mchango wake katika kujenga Tanzania yenye umoja na uzalendo.
Happy Nyerere Day. 💙
#NyerereDay #PesaPlan #Tanzania
PesaPlan retweeted
Replying to @globalcitizentz @ShijaDenis
PesaPlan retweeted
Wakati mwingine, kitu unachokiamini huanza kwa hatua moja tu.
Hutajua kitakachotokea mpaka uanze. Kuwa na imani, anza na kile ulicho nacho na uone safari itakupeleka wapi.
Ukiamini, anza.
#menmenmen #menthepodcast #pesanapreshayake #finance #maisha
PesaPlan retweeted
Wanawake wanaweza kuwa wastahimilivu sana, lakini hiyo haimaanishi wanapaswa kubeba kila kitu au kuishi kwa presha kila wakati.
Ustahimilivu ni nguvu, lakini si lazima kila wakati tuishi kwenye “furnace.”
#pesanapreshayake #menmenmen #menthepodcast
PesaPlan retweeted
Sio tu kufanya kazi ili upate pesa, swali ni: Pesa yako inakutumikiaje wewe?
Jenga nidhamu ya ku-track uwekezaji na matumizi yako leo.
#FinancialEducation #pesanapreshayake #financialplan
PesaPlan retweeted
Siji! Sina! Siwezi! Sitaki - ukiwa comfortable kusema haya maneno uta enjoy sana maisha 😃
Kusema “hapana” hakukufanyi mwanaume pungufu.
Kujua mipaka yako na kutofanya kila kitu kwa presha ya jamii ni sehemu ya kujitambua na kujenga ufanisi.
#menthepodcast #menmenmen
PesaPlan retweeted
Kusema “hapana” hakukufanyi mwanaume pungufu.
Kujua mipaka yako na kutofanya kila kitu kwa presha ya jamii ni sehemu ya kujitambua na kujenga ufanisi.
#menthepodcast #menmenmen
We had the pleasure of joining Men Men Men Podcast to talk about money, financial pressure, discipline, and why understanding your financial reality matters.
We also unpacked the thinking behind PesaPlan and the problem we’re trying to solve. Really enjoyed this conversation.
Pesa ina presha yake.
Wanaume wengi hubeba presha ya kifedha kimya kimya. Nidhamu ya pesa si kuhusu namba tu, ni kuhusu afya ya akili, kujitunza na kupata uhuru.
Tunza pesa, pesa ikutunze.