- (Historical, Scriptures &Traditional Analyst) - (Highway Engineering) - (CAD Tech 3D Modeling) - (Machinery, Equipments & Industrial Enthusiast)

Iringa, Tanzania
Joined March 2018
One thing makes Europe easy vulnerable to being taken over is mainly that they have left their Christianity behind. Many of them treat themselves as Atheists. If you tell them this truth, they'll say Christianity doesn't teach discrimination or killing, so I don't know whether they think Islam teaches discriminating against or killing people!
πŸ€– Made with AI
3
2
6
982
Warszawa, Polska (Warsaw, Poland).
1
5
582
Polycarp The Bibliophile retweeted
🚨 π“π€ππ™π€ππˆπ€ 𝐇𝐀𝐕𝐄 πƒπŽππ„ πˆπ“! βœ… All four Tanzanian clubs are through to the 2026/27 CAF interclub group stages! πŸ‘ πŸ† CAF Champions League * πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Simba SC * πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Young Africans (Yanga) πŸ† CAF Confederation Cup * πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Azam FC * πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Singida Black Stars Four representatives. Four group-stage places. Tanzania are making a statement! πŸ”₯ #CAFCLwithMicky #CAFCCwithMicky #NguvuMoja #AfricanFootball
12
52
5
683
16,369
Afrika life gumu sana
Mt Elgon Family of 13 living in that house.
5
18
1,367
Jamaa katoboa
Congo basin mission achieved!!!🏁
3
1
78
5,541
Muonekano wa kanisa katoliki la Mahanje Madaba wilayani Songea mkoanI Ruvuma Parokia hii inajulikana kwa kuwa na "Chumba cha Amani" kilichopo kwenye hosteli za parokia hiyo, ambapo mnamo Agosti 2003, Papa Leo XIV (akiwa bado ni mtawa na Mkuu wa Shirika la Watawa wa Agustino Duniani) alitembelea na kulala hapo kwa siku tatu mfululizo wakati wa ziara yake ya kichungaji nchini Tanzania.
3
4
104
6,388
Huko Nigeria, Ruba wanatumika Kutibu Lipoma. Lipoma ni uvimbe unaotokana na mkusanyiko wa seli za mafuta chini ya ngozi. Mtu huwekewa ruba kadhaa kwenye uvimbe wa eneo la kidevu, Kisha hunyonya damu na mate yake huwa na kemikali zinazozuia damu kuganda. Hata hivyo, ruba hawajathibitishwa kisayansi kuwa wanaweza kuyeyusha au kuondoa lipoma. Matumizi ya ruba katika baadhi ya huduma za kitabibu, kama kusaidia mzunguko wa damu baada ya upasuaji fulani, ni tofauti na kuwatumia kutibu uvimbe wa mafuta.
10
9
134
36,346
Mi nawaambiaga, Tukifa Sisi Millennials tusiojiweza, Wanyonge na Mafala. Hicho kizazi kitakachokuja kitawakula watoto wa viongozi wa CCM na nyama mbichi. We waache waandae watoto wao kutawala Mabastard yetu, Oya 🀣
13
11
1
75
5,915
Kaka ni ukweli sana
Mabinti ambao hawajavaa hijab ndio wanamatusi ya kutosha hapa. Haya genz ficheni bwana zenu, contena jipya limeshuka! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
19
32
2
183
22,218
Nakubali Jeshi
Mabinti ambao hawajavaa hijab ndio wanamatusi ya kutosha hapa. Haya genz ficheni bwana zenu, contena jipya limeshuka! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
9
8
41
5,222
Ni zamani tulikua tunamaliza Wadogo, Au miaka ya Sasa? Haww mbona wamebalehe vibaya sana?
19
7
5
93
30,312
Namna gani tena hapa
θΏ™ηœŸηš„δΈζ˜―aiεšηš„δΉˆβ€¦β€¦β€¦ εœŸθ€³ε…ΆθΏ™β€¦β€¦
2
3,512
Kuna mwamba nje ya mipaka katuwakilisha vizuri 🀣
6
7
65
4,854
CHRISTUS VINCIT CHRISTUS REGNAT CHRISTUS IMPERAT
CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING. CHRIST IS NOT A KING.
3
866
Who brought heaven down!?
2
5
976
Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limewaalika Waamini kushiriki katika Adhimisho la Misa Takatifu kwa nia ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Katika barua hiyo, TEC imeandika;- "Mwadhama Kardinali, Wahashamu Maaskofu Wakuu, Wahashamu Maaskofu. Bwana Awape Amani! YAH: WITO WA KUADHIMISHA MISA TAKATIFU KWA NIA YA KUOMBEA MAREHEMU NA WAATHIRIKA WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU SIKU YA TAREHE 29 OKTOBA 2025 Kwa moyo wa kichungaji na kwa kutambua wajibu wetu wa kuliongoza Taifa la Mungu katika ukweli, haki upendo na mwanga wa Injili. Kwa barua hii nawaalika kuadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kuliombea Taifa letu la Tanzania na sisi wenyewe. Katika kutimiza mwaka moja tangu uchaguzi wa mwaka jana, tunakumbuka baadhi ya watu wetu kuumizwa, kupotea na hata kuuawa. Hali hiyo ya maumivu na msiba bado ipo kati ya watu wetu. Katika mazingira haya, tunaitwa kusimama pamoja kama jumuiya ya waamini, tukimkabidhi Mwenyezi Mungu mwenye huruma Taifa letu, viongozi na watu wake. Tukiomba umoja, upendo, ukweli, mshikamano ambayo ni matunda ya haki na amani. Kwa sauti ya upole, unyenyekevu, unyofu na majuto tuombe faraja kwa wanaolia, tumaini kwa waliokata tamaa, imani kwa wenye mahangaiko, haki na ukweli kwa waliopotea, busara kwa wasioelewa, uponyaji kwa wenye majeraha na upendo kwa wenye chuki. Pia huruma ya Mungu kwa wale waliotangulia mbele yake. Tunaomba Misa Takatifu ziadhimishwe kwa nia hizo; walioumizwa, kupotea, kuuawa na kuliombea Taifa letu. Tunashauri Misa hiyo ifanyike katika Parokia, vituo vya sala na Taasisi za Kanisa kadiri iwezekanavyo siku ya Alhamisi 29 Oktoba 2026. Misa inaweza kufanyika asubuhi muda wa kawaida, au muda wowote unaofaa. Masomo ya siku au ya kuchagua yanaweza kutumika kwenye Misa hiyo. Tukizidi kuliombea Taifa letu, naendelea kumshukuru Mungu kwa kila moja wenu kwa upendo, uelewa, ushirikiano na majitoleo yenu yasiyokoma. Katika utumishi, upendo na ukweli, - Wolfgang Pisa, OFMCap Askofu wa Lindi na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)." Inaeleza barua ya TEC.
2
24
124
1,800
Raia kwa sasa wamebadilika sana, Wana uelewa sana. Viongozi wanataka kutawala kama miaka ya 1990-2010
15
113
3
823
34,576
Not giant Piranha it's a Baby pacu fish
2
1,108