ENG : CONGRATULATION! retweeted
"Kaka Haloo...!! Shikamoo za hukoo kaka ninaenda kuanza tution leo mwalimu kasema tulipe elfu 50 kwa miez hii miwili nilikua naomba unitumie mama kasema nikuombe wewe kwa sasa yeye hana..." ๐๐๐
ENG : CONGRATULATION! retweeted
#TajiriLaKihaya
Huu ni Mwisho wa Mwakaโฆ. Kila mtu ana MAJUKUMU yakeโฆ
Punguza kuomba Hela๐ค
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpyaโฆโฆ.
Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Mimi kitu najua AFCON haitafanyika TANZANIA mwakani.
Ni suala la muda tuu.
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Kimenukaaaaaaaaaโฆโฆ Naingia kulala, nikiamka napeleka watoto shule alafu nawashushia video saa 3 usiku muda wa TZโฆ..
Issue ni dipu kulikoโฆ..:::
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Zile odds Janja wa Timberland alishea Instagram wengine wakastake kidogo wengine wakazipuuza sasa zimetoa 100M+ wazee nongwa washaanza kwamba wanatumika na wanabumba wins hata ufanyaje huwezi kosa watu wa kuhate hii dunia๐
๐
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Chioma was put in an 800M Bentley bentayga in Tanzania while Davido was in a 1 billion naira Rolls Royce, look at the convoy that came to pick Davido & Chioma, presidential movement ๐ณ๐โโ๏ธ๐
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Kama uchaguzi ulivurugwa kwa sababu ya uchochezi; mshindi alipataje 98%?
Mchochezi alivurugwa vipi na hizo asilimia (%) zilitoka wapi?
Shame on you Judiciary.
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Kama mtaona kuna kosa la uhaini, msisite kunihukumu na kuniadhibu ipasavyo. Lakini kama mtaona hakuna kosa la uhaini, msisite kuniachilia huru~
Mhe. Lissu 28/09/2026





















