TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia) header
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia) profile picture

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐ŸŒฟโ˜€๏ธPresident Samia Fansโ˜€๏ธ๐ŸŒฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐ŸŸฉ๐ŸŸจ๐ŸŸฉ๐ŸŸจ๐ŸšงBuilding a Better Tanzania.๐Ÿšง ๐ŸŸจ๐ŸŸฉ

Makunduchi, Zanzibar
Joined August 2023
Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)Photo by TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PresidentSamia)
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
๐Œ๐ˆ๐€๐Š๐€ ๐Ÿ“๐ŸŽ ๐๐„๐‚๐“๐€๐Ÿ“ Dar es Salaam Amesisitiza kuwa upimaji wa haki utawezesha kupata nguvu kazi sahihi katika ujenzi wa Taifa. #MamaYukoKazini
4
47
1
50
4,223
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
It is with deep sadness we have received the news of the passing of Sheikh Nawaf Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah, the Emir of the State of Kuwait. On behalf of all Tanzanians, I send my sincere condolences to the Royal Family, the government and the people of Kuwait.
217
201
17
1,469
114,792
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Jeshi la Polisi latoa onyo kuhusu ajali za barabarani #NidhamuHakiWeledinaUadilifuMsingiwaMafanikioYetu
17
19
3
98
10,668
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Serikali yagharamia mazishi, matibabu ya majeruhi maporomoko ya udongo Hanangโ€™ mkoani Manyara.
2
3
11
4,718
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mpaka sasa tumewapoteza ndugu zetu 57 katika maafa haya huku 85 wakiendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, Hospitali ya Wilaya ya Hanang na Kituo cha Afya Gendabi. Nimemuelekeza Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Mb.) kupitia Idara ya Uratibu wa Shughuli za Maafa na Serikali ya Mkoa kuhakikisha yafuatayo:- 1. Serikali igharamie mazishi ya ndugu zetu waliotutoka. 2. Serikali igharamie matibabu ya majeruhi wote. 3. Serikali iwape makazi ya muda wote waliopoteza makazi yao. 4. Vitengo na taasisi zetu zote za Serikali zinazohusiana na maafa kuwepo eneo la tukio na kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha hali inarejea kawaida. 5. Kufanya tathmini ya maafa haya. Wakati Serikali ikiendelea na juhudi hizi, tuendelee kuwaweka katika dua na maombi wote walioathirika na maafa haya.
Tumepata baraka ya mvua kubwa katika eneo la Katesh, wilaya ya Hanang, mkoani Manyara ambayo kwa bahati mbaya pia imeleta maafa ya mafuriko. Natoa pole sana kwa wahanga wa tukio hili. Nimeelekeza vyombo vyetu vya kukabiliana na maafa katika eneo hili ambapo tayari vimeanza kazi ya kusaidia kwenye uokozi na kuzuia maafa zaidi kutokea. Wakati juhudi hizi za uokozi zikiendelea, tuwaweke katika dua na maombi wahanga wote na wale walio mstari wa mbele kwenye kazi ya uokozi.
274
289
31
1,479
252,271
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Professor, thank you so much for your kind words.
I like President @SuluhuSamia and am deeply inspired by her quiet confidence and visionary leadership
86
98
8
875
94,809
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Faraja kubwa kuona mwamko wa vijana wa Kitanzania katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi. Katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) nilipata wasaa wa kukutana na baadhi yao, kuzungumza nao na kujionea kazi wanazofanya. Mkutano huu unawaleta pamoja viongozi wa dunia na wadau wa eneo hili muhimu kwa ustawi wetu. Mjadala na majawabu ya mabadiliko ya tabianchi ni suala la uhai wetu, usalama wetu na leo na kesho ya ustawi wa binadamu. Kama sehemu ya majawabu, tumezindua Mradi wa Nishati Safi ya Kupikia itakayowasaidia wanawake barani Afrika. Mradi huu utapunguza vifo zaidi ya milioni 1 vinavyotokea katika bara letu kila mwaka, kutokana na matatizo ya upumuaji yanayosababishwa na matumizi ya nishati isiyo safi kwenye kupikia.
138
204
16
1,054
159,507
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Hongera sana Mama Samia kwa kuhakikisha miradi yote ya kimkakati inaendelea mbali na changamoto nyingi zilizokuwepo. #MamaYukoKazini @SuluhuSamia @IkuluTanzania @ikuluzanzibar @ccm_tanzania @ikulumawasliano
TANESCO yatangaza kuanza kuunganisha kituo cha kupoza umeme Chalinze na Bwawa la Nyerere kwenye Gridi ya Taifa. Kazi itachukua siku 10; hii itawezesha majaribio ya mitambo ya Bwawa la Nyerere. Kutakuwa na kukatika umeme baadhi ya maeneo, @tanescoyetutz inaomba radhi kwa usumbufu.
1
4
782
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Waziri Ummy Mwalimu aagiza wanawake kupata huduma kliniki bila vikwazo. Alisema hili Muheza, Tanga, Novemba 30, 2023, kwenye Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. Wanawake wasinyimwe huduma, bali washauriwe na wapewe elimu. #Afya #UkatiliWaKijinsia
1
67
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Rais Dkt @SuluhuSamia anatekeleza maono. Tanzania tunavutia wagonjwa kutoka Afrika. Julai 2022 - Juni 2023, hospitali 6 zilipokea wagonjwa 6,472. Julai - Septemba 2023, wagonjwa 1,596 kutoka Comoro, DRC Congo, Kenya, Burundi, Zambia, Malawi. #TibaUtalii #MamaYukoKazini
1
1
85
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
TESTING: Oneโ€ฆTwoโ€ฆThreeโ€ฆ GO! @ccm_tanzania @ccm_zanzibar #ChamaKubwaCCM #CCM
1
4
601
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan, ataongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu tarehe 29 Novemba, 2023, Dar es Salaam, Saa 6:00 mchana. Tunamtakia Mwenyekiti na wajumbe wote mkutana mwema. @ccm_tanzania @ccm_zanzibar #ChamaKubwaCCM #CCM
1
1
3
576
TEAM Samia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Raisi @SuluhuSamia anastahili kuungwa mkono na kila Mtanzania. #MamaYukoKazini
2
3
718