
Idhaa ya kiswahili ya @RFI (Radio France Internationale) ipo kwa kukuhabarisha habari za kimataifa
Nairobi, Kenya
Joined July 2011
- Tweets39.5K
- Following304
- Followers7K
- Likes226
James Swan athibitisha tena uungaji mkono wa MONUSCO katika mapambano dhidi ya Ebola Ituri www.rfi.fr/sw/afrika/20261107-james-swan-athibitisha-tena-uungaji-mkono-wa-monusco-katika-mapambano-dhidi-ya-ebola-ituri
Yemen: Watu kadhaa wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Saudi Arabia katika eneo la Sanaa www.rfi.fr/sw/mashariki-ya-kati/20261107-yemen-watu-kadhaa-wameuawa-katika-mashambulizi-ya-anga-ya-saudi-arabia-katika-eneo-la-sanaa
Togo: Upinzani watoa wito wa kusitisha shughuli zote mnamo Novemba 20 www.rfi.fr/sw/afrika/20261107-togo-upinzani-watoa-wito-wa-kusitisha-shughuli-zote-mnamo-novemba-20
Maandamano Ufaransa: Maelfu ya watu wanatarajiwa kuingia mitaani kudumisha shinikizo www.rfi.fr/sw/ulaya/20261107-maandamano-ufaransa-maelfu-ya-watu-wanatarajiwa-kuingia-mitaani-kudumisha-shinikizo
Iran inazidisha juhudi zake za kidiplomasia kupunguza ushawishi wa Washington katika Ghuba www.rfi.fr/sw/mashariki-ya-kati/20261107-iran-inazidisha-juhudi-zake-za-kidiplomasia-kupunguza-ushawishi-wa-washington-katika-ghuba
China kujenga kiwanda cha chanjo ya kipindupindu nchini Zambia www.rfi.fr/sw/afrika/20261107-china-kujenga-kiwanda-cha-chanjo-ya-kipindupindu-nchini-zambia
Paraguay: Rais Santiago Peña aondolewa madarakani, Makamu wa Rais Pedro Alliana amrithi www.rfi.fr/sw/amerika/20261107-paraguay-rais-santiago-pe%C3%B1a-aondolewa-madarakani-makamu-wa-rais-pedro-alliana-amrithi
DRC: Mkoa wa Kivu Kaskazini umekumbwa na shambulio linalohusishwa na ADF www.rfi.fr/sw/afrika/20261107-drc-mkoa-wa-kivu-kaskazini-umekumbwa-na-shambulio-linalohusishwa-na-adf
DRC: Maapigano mapya kati ya FRN na FARDC yarindima Kabare www.rfi.fr/sw/afrika/20261106-drc-maapigano-mapya-kati-ya-frn-na-fardc-yarindima-kabare
Dakar Olympics 2026: Kenya yapata ushindi katika mchezo wa 3x3 basketball www.rfi.fr/sw/michezo/20261106-dakar-olympics-2026-kenya-yapata-ushindi-katika-mchezo-wa-3x3-basketball
IEA: Mgogoro wa nishati duniani utaongeza ukuaji wa nishati mbadala www.rfi.fr/sw/dunia/20261106-iea-mgogoro-wa-nishati-duniani-utaongeza-ukuaji-wa-nishati-mbadala
Israel: Gadi Eisenkot atangaza 'maendeleo makubwa' katika mazungumzo ya kuunda serikali www.rfi.fr/sw/mashariki-ya-kati/20261106-israel-gadi-eisenkot-atangaza-maendeleo-makubwa-katika-mazungumzo-ya-kuunda-serikali
Tahadhari potovu ya bomu: Ulaya yalengwa na mfululizo wa vitisho, uchunguzi unaendelea www.rfi.fr/sw/ulaya/20261106-tahadhari-potovu-ya-bomu-ulaya-yalengwa-na-mfululizo-wa-vitisho-uchunguzi-unaendelea
Paul Biya madarakani kwa miaka 44: uteuzi wa makamu wa rais badi ni muhimu Cameroon www.rfi.fr/sw/afrika/20261106-paul-biya-madarakani-kwa-miaka-44-uteuzi-wa-makamu-wa-rais-badi-ni-muhimu-cameroon
Katiba DRC: FRN inataka ufafanuzi wa serikali wakati wa mazungumzo ya Doha www.rfi.fr/sw/afrika/20261106-katiba-drc-frn-inataka-ufafanuzi-wa-serikali-wakati-wa-mazungumzo-ya-doha
China kutuma wajumbe katika Pembe ya Afrika, eneo la kimkakati linalokumbwa na migogoro kadhaa www.rfi.fr/sw/afrika/20261106-china-kutuma-wajumbe-katika-pembe-ya-afrika-eneo-la-kimkakati-linalokumbwa-na-migogoro-kadhaa
Tanzania: Lissu afungwa jela miaka minne www.rfi.fr/sw/e-a-c/20261106-tanzania-lissu-afungwa-jela-miaka-minne
Kenya: Mchungaji Mackenzie afungwa jela miaka 200 kwa kosa la mauaji www.rfi.fr/sw/afrika/20261106-mchungaji-mackenzie-afungwa-jela-miaka-200-kwa-kosa-la-mauaji
Stephen Mwiti baba aliyewapoteza wanawe sita kwenye sakata la Shakahola la kufunga hadi kufa ,anapata ugumu wa kutembelea makaburi eneo la Malindi .
Anasimulia mkewe akiwa na uja uzito aliwapeleka wanawe watano eneo hilo la Shakahola ambapo wote walipoteza maisha.
Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu amefikishwa mahakamani, uamuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili ukitarajiwa kutolewa leo.
#tundulissukortini #KesiyaLissu #chadema #Uhaini

















