knockout retweeted
Tuzo ya ballon d'or leo itabebwa na mtu ambae hajatajwa sana.
My predictions
#harrykane #lamineyamal #Messi
Bookmark this鈽濓笍
Tuzo ya ballon d'or leo itabebwa na mtu ambae hajatajwa sana.
My predictions
#harrykane #lamineyamal #Messi
Bookmark this鈽濓笍
knockout retweeted
Ivi unaingiaje kwenye ndoa na mwanamke ambae hakusalimii kila siku asubuhi na jioni? heshima iko wapi sasa kama husalimiwi?
binafsi mke wangu lazma awe ananisalimia shkamoo baba kila siku.
knockout retweeted
Kuwa na roho nzuri kuna muda Inaponza sana.
Kuna jamaa anasema yeye ni fundi ujenzi, huwa anafanya kazi mikoa tofauti na hii ni kutokana na kuwa ana aminika na kufahamika kwa muda mrefu.
Anasema kuna siku alipata kazi ya kujenga nyumba nzima wakakubaliana na mteja.
猡碉笍
knockout retweeted
Wakuu mfollow mwanetu huyu hapa account imepita na Elon @Mshonaviatu ana follow chap
knockout retweeted
Mwaka 2021, Kipindi nilikua naishi Dar es salaam maeneo ya msewe.
Kuna siku nipo nimetulia geto, akaja brother angu mmoja akanambia Gabby naomba unisikize kuna mahali nataka niende.
Kwakua sikua na kazi ngumu ya kunizuia nisimsindikize - basi nikamuambia tuende ila.
猡碉笍
knockout retweeted
Kuna ile, mwanamke umejenga nae ukaribu, mazoea fresh, ila siku unagusia tu uichape halafu anakukaushia mazima aagh!
Halafu sasa ukute ndio ilikua mama ya mission town madili ya mpunga anakusanua.
Hayo ndio maumivu makali sana Kiufupi unakosa mazoea, madili na hata nguyuyu 馃挃
knockout retweeted
Proudly supporting @BHAFCFoundation. 馃槆

















