Pinned Tweet
KAMWE USIMWAMBIE MTU MAMBO HAYA
1. Siri zako
2. Kipato chako
3. Mipango yako ya badae
4. Mambo ya familia yako
5. Udhaifu wako
6. Mahusiano yako
7. Bahati yako
Maisha ni gwaride
Mungu akisema nyuma geuka
Wa mbele anakuwa nyuma,na wa nyuma anakuwa mbele
👇enzi izo baba mondi alikuwa mbele,mondi na mamake walikuwa nyuma
6
882
Unaambiwa ogopa MUNGU na TEKNOLOJIA
*Huyu jamaa 👇 aliisemea vibaya simba
Kasahau kaenda kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti
Usianze siku kwa kuwaza
Jana sijapata
Nani kakuacha
Nani kakukosea
Au nini umepoteza
ANZA SIKU
Kea kumshukuru Mungu kwa kile ambacho amakubakizia
Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea;
Nitakushauri, jicho langu likikutazama.
Zaburi 32:8
TIPS ZA KUMJUA MTU
1. Viatu
Huonyesha hali yake
2.Kucha
Huonyesha nidhamu
3. Mkao
Huonyesha adabu
4.Macho
Huonesha nia ya MTU
5. Kicheko
Huonesha tabia
6. Kutembea
Huonesha kujiamini
7. Kusikiliza
Huonyesha akili ya mtu
8. Kubishana
Huonyesha ukomavu
Usianze siku kwa kuhesabu matatizo yako
Anza siku kwa kuhesabu baraka za Mungu
Uhai ulionao leo ni sababu tosha ya kusema
ASANTE MUNGU 🙏
Kabla hujatamani maisha ya mtu mwingine
Jiulize kama uko tayari kupitia safari yake
Kila mafanikio yana gharama yake
Na kila mtu ana changamoto zake ambazo hatuzioni
#Sikunjema
Kwa maana kila mwenye kitu atapewa, na kuongezewa tele; lakini asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.
Matayo 25:29











