Faiz Pentzel retweeted
#TajiriLaKihaya
Jamaa kawaza mbali saaana๐๐ฝ๐๐พ
Faiz Pentzel retweeted
Mimi nilishitakiwa kwa uhaini na kusambaza taarifa za uongo. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo. With all due respect mmefanya hivyo kwasababu za kisiasa
Kwa maelekezo ya kisiasa na kama mmeambiwa hana kosa lakini mtafutieni kosa ili isije kuonekana serikali imepata aibu. Ninajua mtanihukumu inaonekana tayari mnayo hukumu, I feel it in my heart ~ Mhe. Tundu A. Lissu
Faiz Pentzel retweeted
"Kwa sababu ni kosa la kisiasa ni lazima visababu vitengenezwe kumfunga huyu mpinzani wenu. Kosa la uchochezi ni kosa ambalo ninyi Waheshimiwa Majaji mmelitengeneza. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo na mmefanya hivi kwasababu ya Maelekezo ya kisiasa."
TUNDU LISSU
6.11.2026
Faiz Pentzel retweeted
Tanzania is the only country in the world that provides five types of tourism. I was today years old when I learned this. Did you know that? ๐ซก I should visit Saadani next year inshallah
Faiz Pentzel retweeted
Ukitaka kujua LEMA ni kirusi, baada ya MANGE kuongelea hii ishu na kumuhusisha LEMA zilipigwa interview nyingi sana na media za WAKOLONI WEUSI, Lengo kumdiscredit Mange.
Hii familia ilikuwa inahojiwa karibia kila siku. Na taarifa zilizokuwepo yalikuwa ni maelekezo ya LEMA kujisafisha na Mange aonekane MUONGO.
Nakumbuka mpaka huyu mzee alihojiwa rekodi zipo. Leo kafanya Interview na "The Chanzo" akili zipo sawa anaongea uhalisia wa mambo.
Tukisema LEMA ni Mbowe JR tueleweke.
CHUMA (LISSU) aliwahi muambia LEMA mahakamani "Acha Hizo" nafikiri ukiconnect dot unaelewa.
Hapa tumsubiri LISSU atatuletea ukwelu wote uzuri mzee wetu kama BAHARI hakai na uchafu.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Faiz Pentzel retweeted
Musk acaba de lanzar esta nueva posibilidad ๐. Que locura tan maravillosa โค๏ธ
























