Matokeo ya mechi ya leo NBC PREMIER LEAGUE.
IHEFU 2 YANGA 1
Mechi ilikuwa Live Shamba Fm.
Ihefu wanaharibu rekodi ya YANGA ya kucheza michezo 49 bila kufungwa kwenye ligi.
#88.5
#ShambaFm
#Iringa
#KilimoNiMaisha instagram.com/p/CljJWRFqGQA/…
Sikiliza Live Mkutano wa Wadau wa KILIMO ulioandaliwa na SAGCOT kupitia SHAMBA FM 88.5 Mhz Iringa, Njombe, Morogoro na Dodoma kusikiliza Live Online fuata Link hii shambafmradio.mixlr.com
@GeofrreyK
@taha_tanzania
@HusseinBashe
@ACT_Tz
@ANSAFForum
@FeedtheFuture
@ShambaFmRadio
Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Kuendeleza Kilimo Nyanda za Juu kusini (SAGCOT), Geoffrey Kirenga amesema upo uwezekano mkubwa kwa Afrika kujitegemea kwa chakula bila kuagiza nje.
@SAGCOT
@GeofrreyK
@taha_tanzania
@HusseinBashe
@ACT_Tz
Sikiliza Live Mkutano wa Wadau wa KILIMO ulioandaliwa na SAGCOT kupitia SHAMBA FM 88.5 Mhz Iringa, Njombe, Morogoro na Dodoma kusikiliza Live Online fuata Link hii shambafmradio.mixlr.com
@GeofrreyK
@SAGCOT
@HusseinBashe
𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐍𝐀𝐍𝐄 𝐍𝐀𝐍𝐄 𝐉𝐈𝐉𝐈𝐍𝐈 𝐌𝐁𝐄𝐘𝐀 2022.
𝐒𝐡𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐅𝐦 𝐭𝐮𝐩𝐨 𝐋𝐢𝐯𝐞 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐨𝐧𝐲𝐞𝐬𝐡𝐨 𝐤𝐰𝐚 𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐳𝐨𝐭𝐞. @GeofrreyK
@HusseinBashe
Shamba Fm tunawapa pole Watanzania wote katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
#96.1 Fm
#ShambaFm









