Nurse Saphia (@StoneSaphia) header
Nurse Saphia (@StoneSaphia) profile picture

The obstacle is the way Can all be the feminist

Joined December 2021
Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)
Ukipata changamoto usiwahi kumwambia mama yako sababu yeye anaumi mara mbili yako na ukipata jambo la kheri mtu wa kwanza kumwambia ni mama yako sababu yeye ndiye atafurahia zaidi kuliko mtu yoyote.
92
97
5
1,052
Low budget vag* Amanda 馃ぃ woooiii mtu kawa roasted sio poa ila Amanda ndio tatizo humu kila mtu anamuwashia moto yeye tu kanajikuta kenyewe ndio kajuaji kuliko wote wamekapika balaa
98
Nimeona video katoto kamewapeleka polisi nyumbani kwao kuwaonyesha sehemu baba yake anaficha mali za wizi baada ya baba kukataa kumnunulia biskuti imenikumbusha mwaka 2010 mtoto wa miaka 6 aliwaonyesha dawasco baba yao alivyounganisha bomba na kuiba maji ilikua mtiti siku hiyo
14
573
Hii hapa 馃槉 Disemba is comiiiinggg muda wangu wa kuanza kuburudika na nyimbo za wazee wenzangu huu mwaka nitaenjoy kama sijawahi kuenjoy maana ni mwaka wangu wa mwisho kabisa kusherehekea mkesha wa mwaka mpya nje kuanzia mwakani nitakua nalala ndani kwangu
Replying to @StoneSaphia
Tuone picha.
1
10
473
Wazazi wetu ndio walikua trader wa kwanza utasikia leta pesa yako nikuwekee hivyo ndio hairudiii
169
Mama wa huyu mtoto ananiuliza huwa nampa nini mwanae mpaka analala mchana yeye huwa anabembembeleza sana lakini halali na kanaamka saa 10 alfajiri ila akija kwangu tu anasinzia anauliza huwa namfanyaje 馃ぃ
9
4
2
33
4,878
Watu wana matusi kuna mtu kakataliwa na mwanamke huko kamwambia hawezi kuwa na mwanaume anayefanya kazi ya kunyonyesha mbu 馃ぃ馃ぃ馃ぃ
4
16
432
Naona sasahivi kila sekta imedabukwa admin wa ngorongoro ndio aliwasanua kua tunatakiwa tuende na mfumo huu sasahivi kila sekta inafungua account inakiwasha balaa vizuri ujumbe unafika pahala husika
Ma admin wa page za serikali saiv wamechangamka sana ila yule anayeendesha page ya TANESCO ndo kavurugwa kabisa
1
6
274
Hivi kwanini katika siku zote za wiki siku ya jumanne huwa ni siku ngumu sana katika biashara na hata waganga hawafanyi kazi siku ya jumanne kuna nini kimejificha katika hii siku?
37
15
5
219
16,828
Mimi ni mtu mzuri sana mpole na ni muelewa ila ikitokea mtu akataka kuharibu amani yangu na kunidisrespect hapo ndio ataelewa kwanini huwa sina marafiki
3
6
35
701
Hapo nishawekewa miguu mdomoni nimesema mpaka nimechoka anaona ni sawa kufanya hivyo anakunja na nne 馃槀
Replying to @MarekaMalili
Klay akiwa na miezi 8-9 naamka nakuta kaniwekea miguu mdomoni ile kumtoa analia kwamba ni haki ya miguu yake kuwa mdomoni mwangu. Nilimfinya vizuri tu.
1
3
2
28
9,309
Ila humu 馃槀
Wenzio wa rika lako wapo jamii forum
112
Ila nimepungua vizuri jamani nimekua kabinti 馃き
3
1
11
339
馃憦馃憦馃憦
Replying to @chapo255
Mimi nina mke mwaka wa 10 lakini kumdanganya sijawahi nae hawezi nificha. Maana anajua akinidanganya ntajua tu! Hii imedumisha ndoa kwa kiwango kikubwa sana. Hata madogo nao wanapitia humo humo.
102
Wallah tena 馃槀
107
Maashallah maashallah dufu huwa lina raha sanaaa 馃槏
7
558
IST imefika lini mil 25 si ilikua million 19 juzi juzi tu hii bei imepanda lini tena
1
1
2
190
Makomandoo tuliowatuma kwenda kupambania ndoto zao wamerudi sasa hakuna kupumzika ni kelele kuanzia asubuhi mpaka saa sita usiku watundu na hawasikii miezi miwili mpaka iishe tumejuta
2
190
Neema huwezi kuijua mpaka uikose hicho ulichokua nacho huwezi kukithamini mpaka kiondoke kikishaondoka ndio akili inajua kumbe kilikua muhimu ila kwa sababu kipo kila siku unaona hakina maana yoyote
1
1
8
235
Mtu anapiga simu usiku huu analia anasema kaachwa bila sababu nimemwambia tatizo unene apunguze mwili ameniblock kosa langu kusema ukweli
179
Hapo kwenye kucheka kwa sauti ndio penyewe sasa 馃ぃ馃ぃ馃ぃ
78