The Chanzo retweeted
A short reflection on the life and work of the late John Iliffe
John Iliffe and the Making of Tanzanian History | By George Roberts
thechanzo.com/2026/10/31/joh…
The Chanzo retweeted
FAHAMU HAKI MILIKI! | Wasanii Wengi Wanapoteza Mamilioni Bila Kujua Nyakati Hizi za Digital
Mazungumzo na mtaalamu mtaalamu wa masuala ya HAKIMILIKI @japhet_kapinga yanapatikana YouTube chanli ya Dimbani Konekti.
Ingia youtu.be/FIp5AddOccg?si=elM4…
The Chanzo retweeted
Tanzania na Burundi Zilivyotaka Kuingia Vitani
Tanzania na Burundi Zilivyotaka Kuingia Vitani
The Chanzo retweeted
⚫️Wafanyakazi wamechangia mapato ya kodi ya shilingi Trilioni 12.4 kwa kipindi cha miaka mitano.
⚫️Asilimia 60 ya wafanyakazi wanalipwa kiwango kisichozidi laki 5.
⚫️Wafanyakazi wanaolipwa mishahara inayozidi shilingi milioni 1.5 ni asilimia tano tu.
#MeiMosi2024
The Chanzo retweeted
Kivulini Talks: The State of Media in Tanzania — Alive, Ailing, or Dead?
Via @TheChanzo
thechanzo.com/2026/04/02/kiv…
The Chanzo retweeted
Maumivu ya Kupanda kwa Bei ya Mafuta Yategemewa Tanzania, Dunia kwa Ujumla
thechanzo.com/2026/03/22/mau…
The Chanzo retweeted
Mohamed Chande Othman: We have very few public interest litigation cases in Tanzania
“I was surprised, I just checked the other day how many public interest litigation cases are there now, today, in the main registry here [in Dar es Salaam]. They’re fourteen. We’ve 5,000 lawyers in Dar es Salaam..." Mohamed Chande Othman/Retired Chief Justice
The Chanzo retweeted
Pius Msekwa: Vyama Vingi Maana Yake Ni Ushindani
thechanzo.com/2021/10/11/piu…
The Chanzo retweeted
Wanahitajika Videographers (2)
Mwisho wa kutuma maombi ni siku ya Alhamisi, Februari 4, 2026, saa kumi na mbili jioni.
The Chanzo retweeted
Maandamano ya Geita 1958: Namna Yalivyobadili Msimamo wa Wakoloni Kuelekea Uhuru wa Tanganyika
Mnamo Julai 1958, takribani wananchi 6000 wa Wilaya ya Geita wanaandamana na kukutana katika kiwanja cha Nyamagana jijini Mwanza, ambapo waandamanaji hao wanaweka kambi katika uwanja huo kwa siku tano kuanzia Julai 21 mpaka Julai 25, 1958.
Waandamanaji hawa walikuwa wakipinga mabaraza mseto ya wilaya, wakitaka wanaharakati wa TANU waliokamatwa na kufungwa waachiliwe na kesi kufutwa. Kufuatia maandamano hayo kulitokea mabadiliko makubwa ya msimamo wa serikali ya kikoloni, hasa juu ya kuharakisha Uhuru wa Tanganyika.
Fuatilia zaidi makala hii inayoangalia kiundani tukio hilo la kihistoria Tanganyika.👇👇👇
youtu.be/P-cPiUB_Zg8?si=CHQj…
The Chanzo retweeted
Top Ten Source Countries of FDI Stock in Tanzania (USD)
1. United Kingdom- $ 5,152.6 Million
2. Norway - $ 1,776.3 Million
3. Mauritius - $ 1,627.7
4. Netherlands - $ 1,555.3 Million
5. Nigeria - $ 1,015.3 Million
6. Barbados - $ 934.7 Million
7. South Africa - $ 915.8 Million
8. China - $ 769.3 Million
9. Kenya - $ 574.4 Million
10. Canada - $ 549.9 Million
Source: Tanzania Investment Report 2024, NBS
The Chanzo retweeted
#LIVE | Mjadala Juu ya Haki na Uwajibikaji Katika Sekta ya Madini na Gesi Tanzania | @TheChanzo Hoja Yako Mezani
Ingia youtu.be/n-KM5dI3XM0
The Chanzo retweeted
🎙 Meet the Voices Behind the Dialogue!
Join our expert panel as they unpack the realities beneath the surface — exploring power, responsibility, and justice in Tanzania’s extractive sector.
📅 16th October 2025 | 6:00 PM – 8:00 PM
📍 Tanzanite, 6th Floor, Dar es Salaam
🎥 LIVE on @HakiRasilimali and @TheChanzo (YouTube & Instagram)
#HojaYakoMezani #ResponsibleMining #ExtractiveSector #Accountability
The Chanzo retweeted
As we start a new week, let’s reflect on the power and responsibility we hold in shaping a just extractive sector.
Join the conversation this Thursday as we examine the dynamics shaping our extractive sector.
📅 Date: 16th October 2025
🕕 Time: 6:00 PM – 8:00 PM
📍 Tanzanite Park, Floor No. 6, Dar es Salaam
🎥 Live: @HakiRasalimali | @TheChanzo YouTube and Instagram
#MondayMotivation #HojaYakoMezani #HakiRasilimali #Transparency #Accountability #ExtractiveJustice
The Chanzo retweeted
Ungana nasi katika mitandao yetu ya kijamii ili kushiriki kwa pamoja katika mjadala wa kina utakaowaleta pamoja wadau wa kiserikali, asasi za kiraia, na kampuni za madini ili kuweza kujadili na kuchochea hali ya uwajibikaji ndani ya sekta ya madini nchini.
📅 Tarehe: 16 Oktoba 2025
🕕 Muda: Saa 12:00 Jioni – 2:00 usiku
📍 Mahali: Tanzanite, Ghorofa ya 6 – Dar es Salaam
🎥 LIVE kupitia @hakirasilimali na @TheChanzo kwenye YouTube na Instagram
#HojaYakoMezani
#UwajibikajiKwenyeMadini
The Chanzo retweeted
Karibuni kwenye mjadala. @Twaweza_NiSisi na @TheChanzo
The Chanzo retweeted
Kesho usikose mjadala muhimu sana kuhusu #DemokrasiaYetu
Tutaangaza miaka 33 ya Vyama Vingi Tanzania,tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
cc. @TheChanzo @Twaweza_NiSisi
Usikose.
Please share 🤛🏼



















