Travis retweeted
We prayed for you today๐. Forever remembered.
May God grant you eternal rest Champions๐๐๏ธ
Travis retweeted
Watanzania tusikubali waliotenda haya wakaendelea kushikilia madaraka. UWAJIBIKAJI, KATIBA MPYA NA UCHAGUZI MPYA NI LAZMA
Travis retweeted
Naangalia hapa Al Jazeera naona wanaonyesha yaliotokea mwaka mmoja ulio pita Tanzania ila hizi media za bongo wanapiga bongo fleva tu๐ฅบ
Travis retweeted
Mashujaa wetu ni waliouwawa tarehe 29, 30 na 31 hao wengine wa miaka ya giza siwatambui.
Travis retweeted
Hii haina kulala
Baba inakufaa sana kaka inakufaa sana mjomba inakufaa sana
Mama inamfaa sana baba shangazi inamfaa sana mjomba shemeji inamfaa sana
Kijiko kimoja kidogo cha chai unabugia kama pipi tu inaradha nzuri sana wala haina ukali kabisa
Fungeni madirisha washa sabufa mziki mzito ingieni dimbani mpaka mteguke viuno ๐ฅ
Inaitwa KASALAMBWA๐ซต
Bao kikombe.
Travis retweeted
Must Watch. 29/10๐
#LIVE: THE BLOOD BENEATH THE FLAG- PART 1
Watch: youtube.com/live/ObD-XINfSho
Travis retweeted
One of the most heartbreaking videos za October 29.
Ona kijana anaongea na mama yake anamwambia mama wameniuaโฆ.::
Travis retweeted
Mida kama hii vikosi vya wauwaji vilimwagwa Dar es Salaam, Tunduma, Mbeya, Mwanza na Arusha.
Mtandao umezimwa.
Illegal curfew imewekwa.
Mauwaji yale yalikuwa ya kukusudia, ya halaiki, yenye lengo la kujiweka madarakani bila idhini ya umma.
Tunataka Uwajibikaji. 29/10๐
Travis retweeted
Pumziken kwa Amani Mashujaa Wetu Mliopigania Taifa Letu Hadi Mlipopoteza Maisha Yenu.Tunawashukuru Sana Na Tuna Waombea Mwenyezi Mungu Awape Pumziko La Amani.

























