DevotaTweve (@TweveDevota) header
DevotaTweve (@TweveDevota) profile picture

Instagram https://teapaw.org/t.co/59Bh6zcLr1

Tanzania
Joined July 2014
Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)
Sikiliza namna ninavyosoma Taarifa ya Habari 🎤📻
748
317
77
3,453
Hao ni wasomi na jobulesi wenzetu.
Asilimia 85 ya madereva bajaji wanaongea kiingereza kilichonyooka kabisa, Unajifunza nini??
16
Kuna viongozi wa dini wanatetewa na wafuasi wao hata kama wamekosea. IG ndio naona mengi🤪
104
Mama wa miaka 46 anadaiwa kuuawa na mwenza wake mwenye miaka 35, kwa kukatwa shingo na kuchomwa visu sehemu mbalimbali za mwili wilayani Arumeru, Arusha. Ikielezwa ni kutokana na wivu wa mapenzi. Inamaana tuanze kuzoea matukio haya ya wenza/wanandoa kuuana? Imetosha sasa😭
1
3
356
Jamani🥹
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia na linaendelea kumhoji Lameck Isack, Mwanafunzi, kwa tuhuma za kumuua David Lucas, Mwanafunzi mwenzake, aliyefariki dunia baada ya kuchomwa kwa kitu chenye ncha kali sehemu za shingo na ubavu wa kulia. Tukio hilo limetokea Oktoba 29, 2026, Majira ya saa 8 mchana, katika Kijiji cha Mhama, Kata ya Namonge, Wilaya ya Bukombe, Mkoani Geita, wakati Mtuhumiwa, Marehemu na Wanafunzi wenzao watatu, wote Wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2026 katika Shule ya Sekondari Said Nkumba, walipokutana katika Kijiwe kwa mazungumzo. Hata hivyo, muda mfupi baadaye kulitokea mabishano kati ya Mtuhumiwa na Marehemu yaliyogeuka kuwa ugomvi baada ya kila mmoja kudai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja (jina limehifadhiwa), ambaye pia ni mhitimu wa Kidato cha Nne katika shule hiyo. Katika ugomvi huo, mtuhumiwa, aliyekuwa amejihami kwa kitu chenye ncha kali, alimchoma Marehemu shingoni na ubavuni upande wa kulia, na kusababisha kifo chake muda mfupi baadaye. #KitengeUpdates
2
2
213
Thamani ya maisha yako iko mikononi mwako wewe binafsi.
2
16
603
Mafanikio ya kweli hayajengwi na mtu mmoja pekee, bali huhitaji mchango, mawazo, msimamo, na uwepo wa watu wenye upendo, uaminifu, na ushirikiano. Na watu hao wanaweza kuwa marafiki, ndugu, mke au mmeo.
3
12
481
Ulikuwa unakunywa visungura?
2
16
1,326
Nimechanganyikiwa jamani, namanisha Jumamosi njema🥹
1
4
533
Ijumaa njema🙏
3
1
8
856
DevotaTweve retweeted
Spika: Tujibane kupunguza gharama za matumizi ya Serikali, 'hali ni mbaya'.
11
10
3
59
6,014
DevotaTweve retweeted
Vijana wengi wanatumia mitandao ya kijamii. Swali ni je wana elimu ya kutosha kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii? Kesho kupitia #ElimikaWikiendi tutapata kufahamu mengi. Usikose mjadala huu muhimu kesho kuanzia saa 4:00 Asubuhi.
6
5
80
Ni mwaka mmoja sasa bado hatujampata kaka yetu Hamis Tweve. Hatuna taarifa yoyote hadi leo, inaumiza sana💔
Watanzania wenzangu, tunatangaza kumtafuta kaka yetu Hamis Tweve wa Mlowo, Mbozi mkoani Songwe ambaye hajaonekana tangu kipindi cha maandamano hadi leo. Kwa yeyote atakayemuona au kupata taarifa zake atoe taarifa kupitia namba hii +255 757 566 584 (Luck Tweve). Asante
16
21
2
112
10,822
DevotaTweve retweeted
Marekani na Uingereza zawakumbuka waathiriwa wa ghasia za uchaguzi Tanzania bbc.in/4zfVkKK
8
172
3
564
7,171
Katika vita, raia ndio hulipa gharama kubwa zaidi. Lakini hata vita vina sheria. Raia lazima walindwe, wakati wote na kila mahali. Kamwe, hawapaswi kamwe kulengwa. Heshimu sheria za vita. Linda raia. #NotATarget
9
13
725
29/10/2025 💔
2
1
33
1,187
DevotaTweve retweeted
A very long day for us.. October 29!💔😭
3
57
202
2,612
💔💔💔🙏
Au leo sio tarh 29..!!? Au saa 12 asubuhi bado..!? 🌚
2
14
732
DevotaTweve retweeted
R.I.P jogoo 🕯🕊
R .I .p 🕊💔🕯mwanangu mshikaji wangu wa karia koo#ANAELI jina la utani jogoo sitokusahau milele
14
148
2
575
8,482
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
237
1,257
63
3,366
102,945
R.I.P Watanzania wenzetu💔🙏🙏🙏🕊🕊
1
9
53
899