Ukiingia hzo choo zenye haina lock ndani then uskie mtu anatembea akikuja lazima ukohoe ama ujifanye unaimba otherwise mtajikuta wawili ndani.
Me huwa nahurumia hawa husbands wanapiga bibi alfu wanakula same food bibi amepika like huogopi kuwekewa sumu bois.
Tangu Ruto aingje kwa uongozi pears 🍐 hazijaonekana kwa wingi huku singapore, nothing in this regime seems to go well.
Na mtu asikupe pressure ati utoke kwa wazazi huku nje si kuzuri, ata yesu alitoka kwa babake akakufa.
Hakuna wasichana huwa wanakapitia kama wasichana wako na good relationship na baba zao 😂😂 huwa wanafikiria kila mwanaume is like their dads.
