
No bio, just Chemistry.// Backup account @ZePlanmaster
Joined February 2022
- Tweets63.6K
- Following2.1K
- Followers15.7K
- Likes44.8K
Ze Planmaster retweeted
Duka lako ikishakuwa kuingia ndani mpaka uvue viatu, Funga ilo duka unacheza wewe🙌🏾
Ze Planmaster retweeted
TAARIFA!
Nitoe ONYO kwa wanawake wote wanaokuja DM kwangu kunitongoza na wengine wakidiriki kunitumia picha zao za utupu. Nawataarifu kua Mimi nimeoa na Nina watoto watatu na ninampenda Sana mke wangu Elsa.
_END.
Ze Planmaster retweeted
Nawakumbusha wanaume wenzangu si mmeona kulivyo kimya hata sisi hatujui kama leo ni worlds men day basi ndivyo no one is coming to save you🫵
Happy men’s day wanangu wote🤝
Ze Planmaster retweeted
Mimi binafsi siwezi kuachana na mwanamke halafu nikamwombea mema, Hahaha mimi tukiachana ni vita vita tu.
Ze Planmaster retweeted
Mafumbo hayasaidii nyakati hizi, we tuambie ulipataje hela ukawa tajiri namba moja tz
Ze Planmaster retweeted
Hivi karibuni kuna sehemu nilikuwepo kwenye ubarozi wa inchi moja ya Ulaya SALIM KIKEKE alikuwepo pia
Guess what walimtambulisha kama ndiye mmiliki wa CLOWN MEDIA?? Sio yeye aliyejitambulisha hivyo ni Deputy Chief of Mission wa ubarozi ndiye aliyemtambulisha.
Mdau akanipenyezea nyingine kuwa hivyo viwanja anavyo tangaza ni mradi wake pia(Hili sina uwakika nalo)
Sema hapa recent nimeona watu wanamuandama kuhusu downfall yake kutoka BBC
Hakuna cha downfall kutoka BBC. Ukitoa kugombea ubunge na drama zake alizoleta kipindi cha mitikasi ya ubunge na ukizangatia upande aliouchagua na yaliyotekea hapo ndio alizungua
Ila BBC kulikuwa hakuna issue kuanzia 2022 baada ya BBC kufanya Restructuring na budget Cuts na kurudi Africa(BBC swahili)
Ze Planmaster retweeted
Mwanaume mpambafu ni yule anae mpiga mke wake kwa ngumi na mateke ukizingatia wewe ndo ulimshawishi kuishi nae mtoto wa watu hakukulazimisha.
Ze Planmaster retweeted
kipindi kigumu hakimaanishi wewe umefika mwisho.
Kinaweza kukufundisha kuangalia maisha kwa namna nyingine.
Kinaweza kukufundisha kutumia kidogo ulicho nacho kwa hekima.
Kinaweza kukufundisha kutafuta njia mpya.
Kinaweza kukufundisha watu wa kweli wanaosimama na wewe.
Ze Planmaster retweeted
Good morning.
Mali nzuri zinapatikana @ramamobilehub
wa.me/255747151944
Ze Planmaster retweeted
Inakuaje mtu unaumia kwa kitu ambacho huna gari,nyumba,biashara au mpenzi na akili inalijua hilo yaani kinachokufanya uumie ni nini hasa..???
Ze Planmaster retweeted
IFIKE hatua mliooa na mnakaa nyumba za kupanga zilizojaa masela single muwe makini.
Unaruhusu vipi mkeo awe na utani na masela (wapangaji) tena ambao hawajaoa na wapo huru sana kumtania, kufurahi nae kuchekeana mbaya zaidi wanamletea chakula kabisa awapikie.
Au hamuogopi?.
Ze Planmaster retweeted
Ila madem wa kiislamu wana nukia sana halafu wasafi mno hadi mbususu wanapulizia perfume na kupaka Malashi.






















