𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255) header
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255) profile picture

Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Alhamdulillah

Paris, France
Joined June 2019
Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)Photo by 𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255)
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Pale Uganda huyu jamaa anaitwa GEN. SALEH ndio mtu pekee CDF wa Uganda anamuogopa/kumuheshimu miongoni mwa UPDF.
2
1
5
1,802
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Tanzania has announced its first natural gas discovery in more than 10 years, uncovering an estimated 223 billion cubic feet in the southern Mnazi Bay area. Energy Minister Juma Homera confirmed the find after successful drilling at the Kasa-1X ST2 well, a joint venture between the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and French firm Maurel & Prom. Production could start next month, yielding about 30 million cubic feet daily for at least a decade.
2
4
168
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA MJI WA SERIKALI MTUMBA JIJINI DODOMA
1
3
68
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Asante Prof. Samia Suluhu Hassan. Karibu Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma #KaribuMtumba #SiNdotoTena
1
11
11
328
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA MJI WA SERIKALI MTUMBA JIJINI DODOMA
1
2
2
53
Uzinduzi wa Mtumba unatoa fursa ya kuwaeleza Watanzania safari nzima ya ndoto ya kuhamishia shughuli za serikali kwenda Dodoma. Ndoto ya kuhamia Dodoma ilianza na Nyerere mwaka 1973, changamoto za miaka mingi, hadi hatua ya sasa ambapo ofisi za kudumu zimesimama na ziko tayari kuhudumia wananchi wa Tanzania. Rais Samia ametimiza ndoto hiyo ya miaka mingi sana kwa taifa hili. #KaribuMtumba #MjiWaSerikaliDodoma
2
3
220
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Tanzania and Angola have agreed to build a railway link connecting the Indian Ocean to the Atlantic Ocean through Zambia and the Democratic Republic of Congo. The line will link Dar es Salaam port in Tanzania to Lobito port in Angola.
58
337
22
2,399
63,789
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
3
11
28
1,549
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Tarehe 24 Septemba 1973 Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliamua Makao Makuu ya Tanzania yahamishiwe Dodoma. Tangu wakati huo, kila awamu ya uongozi imeendeleza azimio hilo, nami leo nimeungana na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mheshimiwa JoΓ£o LourenΓ§o, kuzindua majengo ya ofisi za Wizara na Taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma. Ninawashukuru Marais wote walionitangulia kwa kuendeleza maono ya Baba wa Taifa. Pia, nawapongeza viongozi, watendaji wa serikali na sekta binafsi, makandarasi na wananchi wote walioshiriki katika kutekeleza mradi huu. Kazi yenu ni ya thamani na itaenziwa katika historia ya nchi yetu. Mji huu uliojengwa kwa fedha za ndani umebuniwa kuwa kitovu cha shughuli za Serikali, huduma kwa wananchi, diplomasia na shughuli za kiuchumi na kijamii. Ni wajibu wetu kuhakikisha uwekezaji huu unaleta tija kwa kuwahudumia wananchi kwa heshima, weledi na ufanisi. Hata hivyo, huduma ziwafuate wananchi walipo kupitia mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), badala ya kuwalazimu kufika Dodoma kuzifuata. Ili kuendeleza ustawi wa Mji huu na Makao Makuu kwa ujumla, nimetoa maelekezo yafuatayo: 1. Majengo, miundombinu na mazingira yatunzwe na kuwa safi wakati wote. 2. Mamlaka husika zisimamie kikamilifu utekelezaji wa Mpango Mkuu wa Uendelezaji wa Jiji la Dodoma wa mwaka 2019–2039. 3. Wizara zinazohusika na huduma za kijamii zihakikishe huduma hizo zinapatikana kikamilifu. 4. Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji iendelee kuhamasisha na kuvutia uwekezaji ili kuunga mkono maendeleo ya Jiji la Dodoma.
31
64
3
157
15,337
Tanzania na Angola Kukubaliana Kuunganisha Reli Zao, Kufungua Njia ya Usafirishaji Kati ya Bahari ya Atlantiki na Hindi Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi. Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola, JoΓ£o LourenΓ§o, wakati wa mazungumzo yao jijini Dar es Salaam. Mradi huu mkubwa unalenga kurahisisha biashara kati ya nchi za Afrika, kuimarisha usafirishaji wa bidhaa na madini, pamoja na kufungua fursa mpya za kiuchumi kwa nchi zinazopitiwa na reli hiyo. Mambo Muhimu Kuhusu Makubaliano Hayo: 1. Kuunganisha Reli Mbili Kubwa Mpango huu unahusisha kuunganisha Reli ya Benguela ya Angola, ambayo ni sehemu muhimu ya Ukanda wa Lobito unaoelekea katika Bahari ya Atlantiki, na Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ambayo inaishia katika Bandari ya Dar es Salaam kwenye Bahari ya Hindi. 2. Njia Mpya ya Usafirishaji Afrika Mradi huo utakapokamilika, utawezesha kuwepo kwa njia moja ya reli inayounganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi kupitia Angola, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Zambia na Tanzania. Hii itarahisisha usafirishaji wa bidhaa, madini na malighafi kutoka nchi za ndani ya Afrika kwenda kwenye bandari za kimataifa. Pia itachochea biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo. 3. Umuhimu wa Kimkakati na Kisiasa Makubaliano haya yanaunganisha miradi miwili mikubwa ya reli ambayo imekuwa ikipata uwekezaji kutoka kwa mataifa yenye nguvu kiuchumi duniani. Reli ya TAZARA inaungwa mkono na China kupitia makubaliano ya uwekezaji wa takribani dola za Marekani bilioni 1.4 kwa ajili ya kuifanyia maboresho na kuifanya iwe ya kisasa zaidi. Kwa upande mwingine, Ukanda wa Lobito umepokea mabilioni ya dola katika uwekezaji na ufadhili kutoka Marekani na Umoja wa Ulaya. Rais Samia pia ametangaza kuwa Tanzania itafungua tena ubalozi wake nchini Angola, ambao ulifungwa mwaka 1993 kutokana na changamoto za kifedha.
2
4
201
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Tanzania and Angola have agreed to connect their Indian Ocean and Atlantic Ocean transport corridors with a railway link via Zambia and the Democratic Republic of Congo, Tanzanian President Samia Suluhu Hassan said.
2
3
129
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Tanzania na Angola Kukubaliana Kuunganisha Reli Zao, Kufungua Njia ya Usafirishaji Kati ya Bahari ya Atlantiki na Hindi Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi. Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola, JoΓ£o LourenΓ§o, wakati wa mazungumzo yao jijini Dar es Salaam. Mradi huu mkubwa unalenga kurahisisha biashara kati ya nchi za Afrika, kuimarisha usafirishaji wa bidhaa na madini, pamoja na kufungua fursa mpya za kiuchumi kwa nchi zinazopitiwa na reli hiyo. Mambo Muhimu Kuhusu Makubaliano Hayo: 1. Kuunganisha Reli Mbili Kubwa Mpango huu unahusisha kuunganisha Reli ya Benguela ya Angola, ambayo ni sehemu muhimu ya Ukanda wa Lobito unaoelekea katika Bahari ya Atlantiki, na Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ambayo inaishia katika Bandari ya Dar es Salaam kwenye Bahari ya Hindi. 2. Njia Mpya ya Usafirishaji Afrika Mradi huo utakapokamilika, utawezesha kuwepo kwa njia moja ya reli inayounganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi kupitia Angola, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Zambia na Tanzania. Hii itarahisisha usafirishaji wa bidhaa, madini na malighafi kutoka nchi za ndani ya Afrika kwenda kwenye bandari za kimataifa. Pia itachochea biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo. 3. Umuhimu wa Kimkakati na Kisiasa Makubaliano haya yanaunganisha miradi miwili mikubwa ya reli ambayo imekuwa ikipata uwekezaji kutoka kwa mataifa yenye nguvu kiuchumi duniani. Reli ya TAZARA inaungwa mkono na China kupitia makubaliano ya uwekezaji wa takribani dola za Marekani bilioni 1.4 kwa ajili ya kuifanyia maboresho na kuifanya iwe ya kisasa zaidi. Kwa upande mwingine, Ukanda wa Lobito umepokea mabilioni ya dola katika uwekezaji na ufadhili kutoka Marekani na Umoja wa Ulaya. Rais Samia pia ametangaza kuwa Tanzania itafungua tena ubalozi wake nchini Angola, ambao ulifungwa mwaka 1993 kutokana na changamoto za kifedha.
4
11
21
813
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Tanzania and Morocco are the only two African nations to have all four of their club representatives qualify for the CAF Champions League and CAF Confederation Cup group stages. Whenever there’s a Kariakoo derby or a Simba and Yanga parade, the entire city of Dar es Salaam stands still.
6
1
56
3,152
NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA MJI WA SERIKALI MTUMBA JIJINI DODOMA
1
4
6
333
NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA MJI WA SERIKALI MTUMBA JIJINI DODOMA
2
2
73
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
KUKAMILIKA KWA MJI WA SERIKALI TUMETIMIZA NDOTO YA KUHAMIA DODOMA- RAIS SAMIA Rais Samia Suluhu Hassan, amesema ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa wa Julius Nyerere, kwa kukamilisha ujenzi wa majengo ya wizara, taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami katika Mji wa Serikali wa Mtumba jijini Dodoma. Rais Samia amesema mwaka 2021 wakati akichukua uongozi wa nchi, mradi huo ulikuwa na majengo ya awali ya kujishikiza, hivyo yeye pamoja na viongozi wenzake waliongeza jitihada za ukamilishaji wake. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo siku ya Ijumaa tarehe 30 Oktoba 2026 wakati wa uzinduzi wa majengo ya wizara, taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami katika Mji wa Serikali wa Mtumba jijini Dodoma. β€œPamoja na majengo ya awali ya kujishikiza, tuliamua kuendeleza mradi wa ujenzi huu wa majengo ya Serikali kwa kujenga majengo ya kudumu ya ghorofa, barabara za lami na miundombinu mengine wezeshi,” amesema na kuongeza kuwa; β€œNamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kutimiza tulioyakusudia, hakika tunapaswa kujipongeza sote Watanzania kwa mafanikio makubwa haya,” amesema Rais Samia. #KigogoMediaUpdates
3
7
1,697
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
β€œBABA NA MAMA LISHE” WATEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA, DODOMA. Wafanyabiashara wa Chakula waliopo Jijini Dodoma, wameipongeza Serikali kwa kuweza kutimiza na kufanikisha ahadi iliyoweka ya kufanya ujenzi wa Wizara na Taasisi zake na kuhamia Dodoma.
1
2
2
91
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
MJI WA SERIKALI WAZINDULIWA RASMI Rais Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 30, 2026, amezindua rasmi majengo ya ofisi za Wizara na Taasisi za Serikali pamoja na miundombinu mbalimbali katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma, akiwa ameambatana na mgeni maalum Rais wa Angola Mhe. Joao Manuel Lourenco. Rais Samia amezindua majengo ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora kwa niaba ya ofisi nyingine zaidi ya 20 zilizopo katika Mji wa Serikali Mtumba. Uzinduzi huo unalenga kuimarisha utoaji wa huduma kwa wananchi, kurahisisha utendaji wa Serikali na kuongeza ufanisi katika shughuli za kiutawala kupitia uwepo wa ofisi za Serikali katika eneo moja lenye miundombinu ya kisasa zaidi. #KigogoMediaUpdates
6
10
1,844
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Hatua ya Rais Dkt.Samia kumkaribisha Rais wa Angola, Mhe.LourenΓ§o na kumpeleka Dodoma kuangalia maendeleo ya miundombinu ya reli ni hatua ya kimkakati inayostahili pongezi kubwa. Hapa si ziara tu ya kidiplomasia, bali tunaona maono ya Tanzania Kujiweka kwenye nafasi kama kitovu muhimu cha biashara,usafirishaji na ushawishi wa kiuchumi katika ukanda wa Afrika. Tanzania na Angola zina nafasi kubwa ya kushirikiana katika sekta ya usafirishaji, biashara,nishati,madini na miundombinu. Ushirikiano wa nchi hizi mbili, ukiunganishwa na maendeleo ya SGR na TAZARA,unaweza kufungua milango mipya ya biashara kati ya Afrika ya Mashariki na Kusini. Pongezi kubwa kwa Rais Samia kwa kuona fursa hii kwa jicho pana,Diplomasia ya Tanzania inapaswa kuendelea kuwa diplomasia inayofungua milango ya biashara, uwekezaji, ajira na masoko kwa Watanzania.
1
6
9
290