AMRISALY (@amrisaly) header
AMRISALY (@amrisaly) profile picture

Founder and investor | Let’s impact millions, intelligencefx, Intelligence express,

Joined February 2019
Photo by AMRISALY (@amrisaly)Photo by AMRISALY (@amrisaly)Photo by AMRISALY (@amrisaly)Photo by AMRISALY (@amrisaly)Photo by AMRISALY (@amrisaly)Photo by AMRISALY (@amrisaly)Photo by AMRISALY (@amrisaly)Photo by AMRISALY (@amrisaly)Photo by AMRISALY (@amrisaly)
everything happen to us for a specific reasons You can’t connect the dot’s by looking forward💯 Life Thread👇
93
184
10
1,296
AMRISALY retweeted
Ukishakubali huu mtego wa Kuchukuliwa ukaambiwa ni jambo dogo tutalimaliza Kituoni, ukifika umeisha😂😂 hii wengi tunaijua... youtu.be/oq1-2WREdvk?si=k7xV…
6
26
82
4,195
Tukiwa Honest huwezi shangaa mtu kubadili career, Path za mafanikio, au kuhama hama biashara. Nchi zetu zisizo na proper Economic systems, kutoboa lazima ukosee, ukifunze, utumike, "usishikwe kalio tuu" “Different strokes for different folks.”
12
33
148
6,094
Huyu Mwamba namuonaga sana TikTok na IG.. Leo ameelezea vyema jina la Ubepari lilipotoke.. Vipi wewe pia unaona Brand name yako inaweza miwa na Impact...? – at Dar es Salaam, Tanzania
3
10
666
Mapema tu leo Asubuhi nimeamka na hii Podcast kwa namna ilivyokua na Madini na uhakika hata wewe utaokota vitu. Mimi sio Mchoyo nakusogezea Link hii hapa na wewe ujifunze. youtu.be/oq1-2WREdvk?si=k7xV…
9
22
40
1,979
Huyu Mwamba namuonaga sana TikTok na IG.. Leo ameelezea vyema jina la Ubepari lilipotoke.. Vipi wewe pia unaona Brand name yako inaweza miwa na Impact...? – at Dar es Salaam, Tanzania
6
12
878
AMRISALY retweeted
Milioni 75 hiii hii au ya Zimbabwe?
Biashara huwa ina mambo mengi ila kupoteza 75M ni noma sana, kuna vijana wanamiliki hela hapa Bongo, mie nimechoka tuonesheni hizo nyoka na sisi bhana 😂😂
15
1
70
11,296
"Wanaume tukiwa na changamoto huwa atupendi kuwahusisha wachumba wetu" youtu.be/oq1-2WREdvk?si=k7xV…
9
22
43
2,242
Mimi kwa opinion yangu urahisi au ugumu it depends na mtu yupo kwenye nafasi gani kaka, Mkuu pia mimi na team yangu ya let’s impact millions podcast hatufanyi evaluation yoyote, Guest mwenyewe ndio amesema, 60m X 52 =??
Replying to @MarekaMalili
Kwa bongo hapa kijana kuweza ku-generate turnover ya 2 Billion si rahisi. Sijajua @amrisaly na team yake nzima huwa wanafanya methodology ipi katika business valuation.
1
11
1,682
Naishi Building moja na UbepariPc , japo yeye hajui 😅. Hata jana tumeonana. Ni mmoja wa influencers waliokuwa na mchango mkubwa kunifanya nije Dubai. Kabla ya hapo sikuwahi kumjua binafsi. Nilimfahamu kupitia @eddygotya . Eddy alinambia, “Bro Gaby, unaweza kuuza PC kuliko kitu chochote.” Afu akanitumia link ya IG ya Ubepari. Kuanzia hapo, nikaghairi mpango wangu wa kwenda China na kuamua kwenda Dubai. Hii interview ni MASTERCLASS kweli. 🔥check 👉🏽 youtu.be/oq1-2WREdvk?si=LTOF… S/o to @amrisaly @Mike_Dastan n the TEAM
24
31
1
287
34,284
Thank you brother 🙏
Replying to @amrisaly
@amrisaly just went 2/2 on the Let’s Impact Millions Podcast 😮‍💨🔥 Proper conversations. Proper mindset. Proper gems. Some podcasts entertain people. Others genuinely shift how you think youtu.be/674OAq3b0tg?si=muOe…
16
1,882

13
4,350
AMRISALY retweeted
Hakuna kitu kizuri kama kuanza hustle kutoka sifuri mpaka mafanikio yanapatikana ukiwa na watu wale wale pembeni yako, Watu wanaojua sacrifices, pressure, losses, doubts na kila hatua ya safari, I can testify kwamba ina mchango mkubwa sana kwenye safari💯 #ThrowbackThursday
15
37
4
402
17,717
mnaniInspaya sana wakuu nitafute kiGenZ changu sasa😄
4
1
54
4,063
AMRISALY retweeted
Hili KOPO linaweza kuua nyoka akiingia ndani kweli 😂😂😀
1
1
3
987
Hakuna kitu kizuri kama kuanza hustle kutoka sifuri mpaka mafanikio yanapatikana ukiwa na watu wale wale pembeni yako, Watu wanaojua sacrifices, pressure, losses, doubts na kila hatua ya safari, I can testify kwamba ina mchango mkubwa sana kwenye safari💯 #ThrowbackThursday
15
37
4
402
17,717
AMRISALY retweeted
Kuanzia kumiliki pesa nyingi, magari ya kifahari, nyumba ufukweni, biashara, safari za nje ya nchi, freedom na mengine mengi, Miaka 10 iliyopita aliweza kuzungumza vitu vyote atakavyovifanya kwenye maisha yake live pale youtube, Then akaweza kuvifanikisha, Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mambo anayoyafanya, footprint na ukweli wa mafanikio yake, Ukweli ambao watu wengi wamekuwa wakiogopa kuuliza hata wanapofanya nae podcast/interview, Lakini kwa faida ya wengi tumeuliza maswali hayo yote from A - Z na kumfanya afunguke vitu ambavyo hajawahi kusema popote pale, Zaidi ya hapo ameelezea kiundani experience yake ya maisha yote aliyopitia, highs, lows, lessons, namna anavyo-handle pesa, investments, pressure, anavyoweza ku-maintain, kupanga mipango ya muda mrefu na kuitimiza na mengine mengi, Kitu ambacho kinafanya episode hii kuwa very EXCEPTIONAL na yamoto kuliko mtu yoyote anavyoweza ku-imagine, Na kufanya tuipe hadhi ya kuiita full MASTERCLASS, Masterclass ambayo kukupa nafasi ya kuiona for free ni upendeleo mkubwa sana, Na impact ya masterclass hii itaacha, value, information na alama kubwa sana kwenye maisha yako, Kutazama full episode click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions pale YouTube, subscribe na turn on notifications, 👇👇👇 youtu.be/LBTv0eB0m5c?si=YWj9… Tukifika subscribers 15,000 (Only 700 to go) tu tuna-release official episode, OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.
10
31
1
230
15,445