
One of the leading conglomerates in East Africa. #Tanzania 🇹🇿 Present in 4 countries, Africa & UAE 🌍 https://xitter.cf/t.co/UC9ce1WoWj
Joined April 2022
- Tweets309
- Following0
- Followers110
- Likes163
32.5N ni cement bora kwa ujenzi wa barabara, Camel Cement inakupa aina tofauti za cement kulingana na matumizi yako. Chagua Ubara, Jenga na Camel cement.
Camel Cement, We Build Stronger
#camelcement #jengaubora #amsonsgroup #constructions
Muandalie mtoto vitafunwa na ngano iliyo bora, safi, laini na yenye virutubisho lukuki
@camel_flour ndio habari ya mjini
#kandakandika #camelflour #amsonsgroup #chapati #maandazi
Linda injini ya pikipiki yako na Racer4T Oil bora ya pikipiki na bajaji! Inaongeza ufanisi wa chombo na kuzuia uharibifu . Tumia Racer4T kwa nguvu zaidi na ulinzi wa kudumu!
Kuwa na uhakika kwenye ujenzi wa nyumba yako ukitumia Camel Cement.
Camel Cement, We Build Stronger
#camelcement #jengaubora #amsonsgroup #constructions
Furahia chapati laini, zilizonyambuka ukitumia unga wa ngano chapa ya Camel. Unga unatengenezwa na ngano halisi ambayo hutoa ladha bora na ya kipekee kwa kila pishi. Tumia unga wa ngano wa Camel, furahi na familia!
Kwa ujenzi imara, wa kudumu na wa gharama nafuu, tumia Camel Concrete. Tunakupa Zege lenye ubora kuhakikisha kila mradi unasimama imara kwa muda mrefu.
Tumia nishati safi ya kupikia ili upunguze athari za mazingira! UkIchagua CAMGAS ni hatua muhimu katika kulinda nchi yetu na kuhakikisha mustakabali bora kwa vizazi vijavyo. Tumia CAMGAS sasa, tunza mazingira.
CAMGAS Mapishi Mengi, Gesi Kidogo
Wasiliana nasi 0746 990111
Furahia ubora na ladha asilia ukitumia unga wa ngano wa Camel, Unga unavirutubisho vyote muhimu kwa afya yako, ukitoa matokeo bora katika upishi wa kila aina.
Kanda Kandika!
#camelflour #nganobora #ungawangano #amsonsgroup #kandakandika
Camel Packaging Tunatengeneza vifungashio bora na imara! Kiwanda chetu kinazalisha mifuko kwa matumizi mbalimbali, Kwa ulinzi na uhifadhi bora wa bidhaa zako tumia vifungashio vilivyotengenezwa na Camel Packaging.
Hizi hapa sababu za kutuchagua CAMGAS
1. Ubora wa hali ya juu
2. Ujazo sahii
3. Salama kwa matumizi
4. Inapatikana kwa urahisi
5. Haitoi masizi
6. Unatumia kwa muda mrefu
CAMGAS Mapishi Mengi, Gesi Kidogo
Wasiliana nasi 0746 99011
Jenga kwa ubora, tumia Camel Cement! Cement bora kwa majengo imara, madhubuti na ya kudumu.
#camelcement #buildstronger #jengakwauhakika #amsonsgroup
Epuka madhara ya moshi wa mkaa na kuni, na chagua CAMGAS, ni rafiki kwa mazingira, na inalinda afya yako.
CAMGAS Mapishi Mengi, Gesi Kidogo
Wasiliana nasi 0746 990111
#camgas #amsonsgroup #nishatisafi #mapishimengigesikidogo
Camel Cement 42.5N ni Cement Namba Moja kwa utengenezaji wa tofali imara na za kudumu! Chagua ubora, jenga kwa uhakika.
#camelcement #buildstronger #jengakwauhakika #amsonsgroup
Imarisha huduma na kuongeza thamani ya biashara yako kwa kutumia mtungi wa CAMGAS kg 38! Chagua ubora – tumia CAMGAS sasa kwa ufanisi na uhakika wa matumizi ya muda mrefu!
CAMGAS Mapishi Mengi, Gesi Kidogo
Wasiliana nasi 0746 990111
#camgas #amsonsgroup #nishatisafi

















