playboi retweeted
Wakadinali lovers , hooks za sewersyder bila IQ hauwezi ziget. Kila time utakua offended na useme ngoma zao ziko low lakini Sewer is the most radical rapper in wakadinali.
playboi retweeted
Avoid sana kuenda hizo sherehe za familia kama family gathering, graduation za relatives etc hapo watu hutoa emotional speech na you wonder wtf... Some relatives wako so entitled na they aren't considerate.
playboi retweeted
Financial stability stops 99% of stress
A lot of overthinking comes from lack of money.
playboi retweeted
What if we say any person who may want to be elected as a president must first govern a county for atleast one term
playboi retweeted
Bro yangu anaweza solve Rubik's cube in less than 10 minutes, yeye ndo huwa anapiga piano church, juzi ametengeneza simu ilikwa imeharibika. Na ndo amemaliza grade 9. Naonanga talents zake zikiwastiwa shule. Ndo maana ata asiposhika Fasihi huwa simuulizi
playboi retweeted
Nimetoka interview straight into my silver apartment. Nimejilaza kwa kitanda kama gecko uchi wa mnyama nikiskiza Masikitiko by Les Wanyika. Mziki hata haijaenda sana, naanza kulia na sio ati ju ngoma ni emotional, no, ni ju sun rays zimepata space kwa mabati zikanichoma buttcrack
playboi retweeted
Siamini nilieka number kwa bio watu wa gigs waniDM lakini napata DM za watu wananiomba mia ati nimetoa number twitter















